Is Atheism Satanism?

Out of curiousity_Che quavara naye alikua atheist...?
 
Halafu mkuu roho inaishi ndani ya mwili hai tu. Mwili ukipoteza uhai kwa ajali au maradhi roho nayo inapotea(cease to be). Nina maana roho haiwezi kuwepo nje ya mwili. Wale wanaojilipua ili roho zao ziende mbinguni ni porojo tu, wanakua tu dead meat.
 
bro nafikiri ungenisaidia kwa kunipa source ya knowladge yako b it a book,site o something...Please

mtoto wa mama huwezi hata ku-google, chukua sentensi moja kwenye ilo bandiko i-google article au kitabu chote kitashuka kizimakizima.[JFMP3][/JFMP3]
 
It seems you don't know that communism and non theism is the same thing. Both denies God. Both hates religion. Both kills Christians. Both destroy the beauty of the earth.


The reason for world war I was to establish atheism in USSR
 
You are wrong once again. I don't believe in ghosts and or negative deity. I follow the who created you. MY GOD CREATED YOU.

ok, nimeshaelewa tatizo lako, KUSOMA KITABU KIMOJA TU,KILICHOANDIKWA NA VILAZA WA ENZI HIZO! Hauwezi kuwa na mawazo huru kama umejifungia ndani ya box na hautaki kutoka uone yaloiyo nje, hiyo ndiyo dunia yako, imekutia upofu hauamini kama kuna mwanga nje! walioniumba mimi ni baba na mama, kama wewe unaamini kuwa uliumbwa na mzimu uitwao mungu wakati unawaona kabisa wazazi wako basi utakuwa na matatizo ya akili!
 
A type of God who cares about sinn!,a god who care about what i Free ideas do!.Such a god who created us with his love but planing to burn us!.Hii aina gani ya mungu huyu,""Ninachojua mimi,kama kuna mungu basi sio huyo mnaemtambulisha nyie,mungu wa Waislamu,wakristo,ma-budha,Hindu na kadhalika.""
Kama kuna mungu hakuna anayemjua na hakuna anayeweza kumuelezea! Na hawezi kamwe kuwa na sifa hizi mnazompa kila siku hapa.Hawezi kuwa mungu,Huyu mnaekesha kumuelezea humu ambaye sifa zake hazina tofauti na watu alowaumba.

Mungu ambaye ameshindwa kabisa kufanya watu waelewane na wawe kitu kimoja.Mungu ambaye anataka kusifiwa kwa kazi aliyoifanya!.Mungu anaeagiza binadamu wawaadhibu kwa kuwaua wale wasio mkubali na kumuabudu!.

Mungu asiyetaka kujidhihirisha kwa watu wake ili kila mmoja amwamini na kumshuhudia kwa macho yake.Mungu aliyeamua kujidhihirisha kwa watu binafsi huku akitegemea ujumbe ufike mahala pote ulimwenguni tena pasipo njia ya maana ya kufikisha ujumbe huo,bali kutembea kwa miguu umbali mrefu kumtangaza.Aisee hii balaa
 

Bold-Kudai Mungu hayupo sio assumption?

Kama sio assumption leta ushahidi hapa kuwa hayupo!
 

Shetani anatumia njia mbili kuu ktk kufanya kazi yake ambayo ni kuwavuta watu kwake iwe kwa kupenda au kutokupenda.

1. Kuonesha yeye shetani hayupo; <hivyo Mungu hayupo> (hii inawakumba atheists) au hata kama yupo hana madhara (hii inawakumba waamini walio wasomi na mara nyingi vuguvugu)
2. Kuonesha kuwa ana power sana na ni source ya power zote duniani. (Hii huwakuta wote watafutao utajiri, vyeo na madaraka ya kisiasa kwa ushirikina)

Source: Pengo (tafakuri yake)
 

Nataka nikubaliane nawe,ila uniambie
1. Wewe ambae sio kilaza umeandika kitu gani ambacho ni very influencial kama/kuliko cha hao vilaza wa zamani?

2. Ni nani ambae sio kilaza wa hivi karibuni alieandika mambo ya maana kama hao vilaza wa zamani?

3. Hapo nje ya box ni wapi?je unadhani nje ya box kuna vitu vya maana kuliko ndani ya box?

4. Je hicho kilicho nje ya box ni cha kweli kuliko kilicho ndani ya box?

5. Je hudhani kua unachokiona sasa ni cha uhakika baadae kitakuja kuonekana kiliaminiwa/kiliandikwa na vilaza,ukiwemo wewe?
 
Du!,hii kali Ishmael unajua historia ya ukristo?.Naomba utenganishe Communism na Ukiristo

I know what is Christianity and the origin of same, in contrast, you have no clue what is non theism and why do you believe in the negative god, to wit
 
Asante Kaunga.

Vile vile Shetani anatumia mbinu ya kusema kuwa Mungu hayupo (hii inawakumba non theists).
 
Sio assumption

Kudai kuwa hakuna Mungu ni assumption na sio impeccable fact.

Hakuna ushahidi kwa kitu/mtu ambacho HAKIPO,bali ushahidi upo kwa kitu KILICHOPO ama kinachoelezeka,kupimika n.k.

Anayetakiwa kuleta ushahidi ni wewe unaedai KIPO/YUPO.
The burden is on both sides. Bado hayo ni madai kwasababu wewe huwezi kuwa na jibu ambalo SIO TEGEMEZI kutoka kwa Theism. Ndio maana hata IMANI yako ya NON THEISM ni TEGEMEZI kwa THEISM.

Bila ya uwepo wa Theism, nyie(NON THEIST) ambao ni TEGEMEZI hamuwezi kuwepo. In other words, nyie hamna uweza wa akili wa kusaidia madai yenu zaidi ya Majibu yenu kuwa TEGEMEZI kutoka sie watu wa Kitaab.
 
Bold-Kudai Mungu hayupo sio assumption?

Kama sio assumption leta ushahidi hapa kuwa hayupo!
Hato weza kukujibu kwa facts zaidi ya kuibua another fallacies kusaidia assumptions zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…