Is Atheism Satanism?

Unaelewa kwamba ukisharuhusu logical inconsistency na contradiction, umeruhusu kauli yako ya kwamba Mungu yupo imaanishe kwamba Mungu hayupo?
Kiranga kuna kitu kimoja huelewi au niseme hutaki kuelewa ni kwamba EXISTENCE ya MUNGU haiwi limited na implications za matatizo ya WANADAMU ni vitu viwili independent yaani GOD ana exist na bado ana upendo ila wanadamu wana shida zilizotokana na other factors other than love of GOD au Existence of GOD hivyo ilitakiwa uulize maswali mawili tofauti ila usifungamanishe maswali yasiyohusiana...... Na yote yana majibu sio kulazimisha kuwa Mungu akiwepo matatizo yasiwepo na matatizo yakiwepo Mungu hayupo usilazimishe virelate

ukitaka kuona hilo jaribu kujibu hili swali ambalo ni opposite ya swali lako kama na wwe utaweza kuona udhaifu hapo wa swali.......

Mfano natoa hoja shetani HAEXIST sababu sifa kuu ya shetani ni muovu hivo ina maana kama ni muovu mbona kuna wanadamu hawajui shida hasa wa ulimwengu wa kwanza na shetani hajawapa majanga/magonjwa/njaa.... hivyo kwakuwa hawana shida ina maana shetani sio muovu hivyo concept ya uwepo wa shetani imeshajicontradict thus shetani haexist!!!!!

Embu tafakari urudi upya na maswali mawili tofauti

Cc Behaviourist
 
Au ifike mwaka 2050 vijana wawili wawe wanabishana hivi

CHADEMA haikuwahi kuexist maana CHADEMA character yake kubwa ilikuwa vita dhidi ya ufisadi hivyo kama ingeexist isingempokea Fisadi lowassa 2015.... Hivyo basi Kitendo cha kumpokea lowassa kinafanya concept ya uwepo wa CHADEMA ujicontradict wenyewe hivyo haikuexist

Hivi hapo atajibu nini si itaonekana kma kweli hakuna chama kiliwahi itwa CHADEMA kimewahi exist ?? Unaona aina ya maswali yako yanaweza tengeneza debate kwenye kila sekta ilihali ni baseless ...... sababu gani ?? unatengeneza angle ndogo ya majibu ilihali unajua ukiuliza

1. Does God exist
2. If GOD exists why are there problems yatajibiwa kwa ufasaha bila haja ya kufungamanisha

Na Hata hawa vijana wamgeuliza
1. Je CHADEMA iliexist ???
2. Je kwanni CHADEMA ilimpokea fisadi lowassa ilihali ilikuwa inapambana na ufisadi??....

Hapo lazima majibu yatakuja maana yana account 2 tofauti kabisa

Kama kuna aliyenielewa amueleweshe Kiranga kwa lugha anayeielewa mie sio mzuri kwenye oratory language
 
She is a namby pamby and can not support her malarky of negative god to point of using ignore option when she is flabbergasted and doesn't know what to do.

CC: Free ideas
Duh English ya kishetani imedinda hata PHILOSPHER NITCHE ALIYESEMA GOD IS DEAD HATAELEWA(Namby pamby malarkey ha ha kazi ipo!
 
Mtu gani asiyejua shida ulimwengu huu?

Shida ni nini kama unavyo idefine wewe?

Unaelewa ikiwa watu wote wa dunia hii hawajui shida, lakini kuna mmoja tu naye hajui shida, lakini kang'atwa na mbu mmoja tu sekunde moja tu, tayari hapo huwezi kujenga hoja kwamba shetani hayupo kwa sababu hamna shida, kwa sababu mmoja tayari kashapata shida kng'atwa na mbu?

Unaelewa nikikojolea ndoo ya maji ndoo, nusu uwe mkojo na nusu maji, nikchanganya, hutakiwi kunywa kilichomo kwenye ndoo kwa kusema kwenye ndoo kuna maji?

Kwa nini unataka kunywa maji yaliyochanganyika na mkojo kwa hoja kwamba hata kama maji yamechanganyika na mkojo ni maji tu?
 
Haahaaaa si unaona unavyohangaika..... Umesema huwezi pinga existence ya shetani kisa mtu mmoja hana shida vivyo hivyo huoni nikijibu kuwa huwezi pinga Mungu hayupo kisa mwanadamu mmoja au wawili wanateseka?? sasa which is which???

Kama ww ulivyogeneralise kuwa ulimwengu kuna shida bila kueleza extent ya shida hizo na ndio nmequestion kuna watu wengi hasa walio ulimwengu wa kwanza hawana shida kama za kwetu huku ina maana kivp shetani kawaacha bila kuwadhuru??? Kama hajawadhuru si ina maana shetani hayupo maana kama angekuwepo si angewafutilia mbali na dunia nzima tungekuwa kma somalia tu....... Ongelea kwa mtu ambaye amelinganisha maisha ya Luxembourg na kibera then akafikia hiyo conclusion

Ungemjibuje???? Nataka uone kitu hapo..... nisaidie ungemjibuje ili huyo kapuku aamini shetani ana exist hadi Luxembourg
 
Unajua kusoma?

Wapi nimesema "huwezi pinga existence ya shetani kisa mtu mmoja hana shida" ?

Unajua kusoma Kiswahili wewe?

Hivi hata ninachoandika kwa Kiswahili unaelewa?

Nikisema siwezi kujadiliana nawe kwa sababu hujui kusoma Kiswahili nitakuwa nakosea?
 
CHADEMA haina uwezo wote wala ujuzi wote, inaweza kuanzisha vita dhidi ya ufisadi ikashindwa.

Kukawa na ufisadi licha ya CHADEMA kuwa na vita ya ufisadi.

Mungu wako mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote naye anashindwa?
 
CHADEMA haina uwezo wote wala ujuzi wote, inaweza kuanzisha vita dhidi ya ufisadi ikashindwa.

Kukawa na ufisadi licha ya CHADEMA kuwa na vita ya ufisadi.

Mungu wako mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote naye anashindwa?
Elewa context ya swali kiranga linafanana na ulilouliza...... Ww hapo ungemjibuje huyo kijana??? Huoni ingeonekana CHADEMA haikuwahi exist irrespective iliweza au ilishindwa vita ya ufisadi??

Nachotaka uelewe ni kwamba existence ni tofauti na vita ya ufisadi ni tofauti sababu yote yana factors zilizosababisha yatokee je kwanni useme kwakuwa lowassa alikuja CHADEMA 2015 basi CHADEMA haikuwahi exist..... Why ulazimishe hivyo??? Separate the 2 concepts
 
Soma majibu yako hapa alafu ukane ulichosema


Kwa jibu lako hili ulimaanisha existence ya shetani inaweza ikapimwa kwa unit moja tu..... Ila kwa MUNGU hapana haexist hata kama katika dunia nzima kuna mmoja kaona upendo wake???

Unaona unavyojicontradict.....

Na uliposema mkojo kwenye maji ndio ukazidi jichanganya zaidi..... Ikimaanisha kama kuna watu hata 2 wana shida inamaanisha Mungu hayupo si ndio maana yake ila kwa lucifer hao wawili wakiwa na shida irrespective ya dunia nzima kma hawajui shida basi anakuwa ameexist????

I hope umeona ulipojikanyaga
 
I concur with u brother
 

Do not be fooled young man. for believers Atheism and Satanism is the same thing. just different colour.
that's all.
 
Tuliza mpira siku ukifa utajua kwamba kila kitu ni uongo mtupu japo ni ukweli uliobadilishwa..... Mungu aandae moto wa kuchoma kiumbe alichokiumba..!??

We endelea kutapeli watu na jioni kujipongeza kwa kunywa gongo ukijipa moyo kuwa hakuna hukumu.

utakuja baki mdomo wazi utakapo uona huo moto.

time will tell
 
in fact there are many christians and muslim gays than any other beliefs

Late Ishmael gave you facts about Atheist. majority of them are gays
and for you being gay doesn't mean it's Too late to come back .

wake up sweetheart. Gays is nasty and filthy business.
 
Late Ishmael gave you facts about Atheist. majority of them are gays
and for you being gay doesn't mean it's Too late to come back .

wake up sweetheart. Gays is nasty and filthy business.
Mkuu maalim kahtaan habari za siku.... ulipotea sana humu jukwaani..... Nakumbuka enzi hizo zile debate zako na ishmael asee nlikuwa sichomoki humu JF nasoma page by page

Welcome back
 
Mkuu maalim kahtaan habari za siku.... ulipotea sana humu jukwaani..... Nakumbuka enzi hizo zile debate zako na ishmael asee nlikuwa sichomoki humu JF nasoma page by page

Welcome back
Glad to be here buddy

unfortunately Ishmael a.k.a Maxshimba yuko Jela kwa kosa la utapeli kwa kutumia jina la bwana. miaka 10. tayari katumikia miaka 4 bado mingi tu hatokuwemo humu.
 
huyu kijana mwenye jina lenye maana mbovu ni kawaida yake kujichanganya halafu wakati huo huo akadhani kaandika points za maana sana ndio maana Mimi huwa ananikimbia


kabla hujafika nae mbali swali moja dogo sana. muulize nini maana ya KIRANGA kizaramo. manake yeye pia ni mzaramo 50% .

ahsanta
 
Glad to be here buddy

unfortunately Ishmael a.k.a Maxshimba yuko Jela kwa kosa la utapeli kwa kutumia jina la bwana. miaka 10. tayari katumikia miaka 4 bado mingi tu hatokuwemo humu.
Hahahahaha Kahtaan how have you been brother,
Good to see you again, God Bless you...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…