zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Kiranga kuna kitu kimoja huelewi au niseme hutaki kuelewa ni kwamba EXISTENCE ya MUNGU haiwi limited na implications za matatizo ya WANADAMU ni vitu viwili independent yaani GOD ana exist na bado ana upendo ila wanadamu wana shida zilizotokana na other factors other than love of GOD au Existence of GOD hivyo ilitakiwa uulize maswali mawili tofauti ila usifungamanishe maswali yasiyohusiana...... Na yote yana majibu sio kulazimisha kuwa Mungu akiwepo matatizo yasiwepo na matatizo yakiwepo Mungu hayupo usilazimishe virelateUnaelewa kwamba ukisharuhusu logical inconsistency na contradiction, umeruhusu kauli yako ya kwamba Mungu yupo imaanishe kwamba Mungu hayupo?
ukitaka kuona hilo jaribu kujibu hili swali ambalo ni opposite ya swali lako kama na wwe utaweza kuona udhaifu hapo wa swali.......
Mfano natoa hoja shetani HAEXIST sababu sifa kuu ya shetani ni muovu hivo ina maana kama ni muovu mbona kuna wanadamu hawajui shida hasa wa ulimwengu wa kwanza na shetani hajawapa majanga/magonjwa/njaa.... hivyo kwakuwa hawana shida ina maana shetani sio muovu hivyo concept ya uwepo wa shetani imeshajicontradict thus shetani haexist!!!!!
Embu tafakari urudi upya na maswali mawili tofauti
Cc Behaviourist