Dispute with evidence and not vain words.Sawa lakini nahisi umesahau kwamba hata hao waliokwambia kwamba kuna kitu/mtu anaitwa mungu walianza pia kwa kuabudu mizimu.Lakini ni vizur ukaleta ushahidi kwamba wewe una mungu wa kweli na uthibitishe hala kwamba yupo
FYI:Atheist sio Satanism kwani ma atheist hawamwamini Mungu and hawamwamini na shetani neither
FYI:
Not to believe in God is believing in Satan whether you comprehend it or not. Is like, the absence of light is the presence of darkness.
huo mfano ni irrelevant kwani Vitabu vinasema kuwa Mungu ndie aliumba mbingu na dunia viumbe vyote na SHETANI aliumbwa na Mungu
Unaona tatizo la kuwa na imani ya kuto amini Mungu inavyo kuweka pabaya. Mimi nilifikiri unao ushahidi kuwa hakuna Mungu, kumbe ni wale wale akina Kiranga na Nyani Ngabu ambao ni wafuata mkumbo wa Shetani.so unapoamini kuwa hakuna Mungu unaamini kuwa hujaumbwa na Mungu unaamini dunia haijaumbwa na Mungu unaamini kuwa Hakuna majini unaamini kuwa hakuna shetani
so u dont believe neither God nor Devil
Kumbe unajua kuwa kuwa Mungu aliumba kila kitu, sasa unabisha nini? God hater, you can't have both ways. You either belive in God or you don't.
Unaona tatizo la kuwa na imani ya kuto amini Mungu inavyo kuweka pabaya. Mimi nilifikiri unao ushahidi kuwa hakuna Mungu, kumbe ni wale wale akina Kiranga na Nyani Ngabu ambao ni wafuata mkumbo wa Shetani.
Hivi lini utaanza kutumia akili yako na uachane na kuamini vitu ambavyo huna ubavu wa kuvithibitisha?
Kumbe upo kwenye evolution ya kuamini. Sasa evolution ya mzimu umeitoa wapi?Sawa lakini nahisi umesahau kwamba hata hao waliokwambia kwamba kuna kitu/mtu anaitwa mungu walianza pia kwa kuabudu mizimu.Lakini ni vizur ukaleta ushahidi kwamba wewe una mungu wa kweli na uthibitishe hala kwamba yupo
Thibitisha kuwa ni vitu vya kufikirika na sio kutoa madai hewa. Mimi nataka unipe ushaidi wa wewe kuamini unacho amini na iso kusukumia ushaidi upewe na wengine unao wapinga. Wewe thibitisha unacho pinga tu.Mungu,shetani,majini,roho na kila kinachoendana na hivyo ni vitu vya kufikirika.Hakuna ushahidi mwenye ushahidi alete hapa.
Hebu nithibitishe kuwa kuna "Mwanga"Mungu,shetani,majini,roho na kila kinachoendana na hivyo ni vitu vya kufikirika.Hakuna ushahidi mwenye ushahidi alete hapa.
Thibitisha kuwa ni vitu vya kufikirika na sio kutoa madai hewa. Mimi nataka unipe ushaidi wa wewe kuamini unacho amini na iso kusukumia ushaidi upewe na wengine unao wapinga. Wewe thibitisha unacho pinga tu.
Hebu nithibitishe kuwa kuna "Mwanga"
Teyari umesha lewa juisi ya pilipili.
Jibu swali:
Hivi lini utaanza kutumia akili yako na uachane na kuamini vitu ambavyo huna ubavu wa kuvithibitisha?
Thibitisha unacho amini na achana kusingizia wengine kuwa hawajakuthibitishia, Ndio maana nilikwambia kuwa achana na akili tegemezi na imani tegemezi.kama kipi sina ubavu wa kuthibitisha?
Neno "hakuna ushahidi" linahitaji usaidizi ili liwe thabit. Umejuwaje kuwa hakuna ushahidi, nipe mbinu au njia au mwongozo ulio tumia kufikia jibu la "hakuna ushahidi". Nataka jibu ambalo halitegemei theists bali lina jitegemea kutoka atheism.Hakuna ushahidi wa kisichokuwepo?,nitakuwa wa ajabu sana kuthibitisha kwamba kitu flani hakipo.Kisichokuwepo hakihitaji ushahidi bali kilichopo ndicho kinahitaji ushahidi.
Sasa nipeni ushahidi wa uwepo wa mungu.
Lete uthibitisho na sio kuniambia mwanga unapimika. Nataka uthibisho kuwa kuna "mwanga".Mbona rahisi,mwanga unapimika ,unaonekana,na hata nikifba macho ukanimulika kwa tochi machoni ntahisi mwanga.Ba pasipo na mwanga kuna giza ambalo pia linapimika na linaonekana kwa macho.
Sasa wewe niambie mungu mnampimaje?,kwa kifaa gani?.
Lete uthibitisho na sio kuniambia mwanga unapimika. Nataka uthibisho kuwa kuna "mwanga".
Neno "hakuna ushahidi" linahitaji usaidizi ili liwe thabit. Umejuwaje kuwa hakuna ushahidi, nipe mbinu au njia au mwongozo ulio tumia kufikia jibu la "hakuna ushahidi". Nataka jibu ambalo halitegemei theists bali lina jitegemea kutoka atheism.
Umeshindwa kumjibu kwedu, sasa unalalamika tu, tetea madai yako kuwa hakipo, maneno matupu sio mali kitu. Akili tegemezi kaazi kweli kweliKisichokuwepo hakithibitishiki!,labda kama huelewi lugha.Mimi na wewe nani anahitajika kuleta ushahidi?.