Is Atheism Satanism?

Is Atheism Satanism?

Mkuu Ishmaeli, jina kama la yule mwanaharam wa ...,

Naomba nikurudishe kidogo kwenye creation,
  1. Mungu alimuumba Adam na Eva/Hawa kwa mfano wake "sisi we as the same being as God!.
  2. Baada ya kutuumba, akatupulizia pumzi ya uhai "life force" into us, into our bodies, hivyo pumzi ya uhai ndio Roho ya Umungu "Gods Spirit" ilio ndani yetu na ndani ya kila mmoja wetu, "Omnipresence"
  3. Kila Binadamu mwenye "uhai" ana Mungu ndani yake!. Huu "uhai" ndio Gods Spirit, Holly Spirit, "will power" na spiritual being "I"
  4. Whether ones believes in God or not as long as s/he is alive, has God in h/im/er!.
  5. Ile "I" ndio God mwenyewe!, I believe in "I" , The Supreme Being!, call him what you may, God, Lord, Mungu, Mulungu, Mkama, Jah, "I" etc, etc its all the same!, its the "power" that matters not the name!.
Pasco
Ni ya kweli haya Mkuu Pasco?
 
anyone to prove that God does not exist

Do not make your proof with so many questions consisting of ''IF GOD....'' Comeup with something concrete then I'll join you in your belief, religion or whatever.
 
I don't think if JF has such a person.
 
the opposite of white is not necessarily black. that z wa i can comment
:A S-alert1::A S-alert1:
 
Tusioamini Mungu hatuamini pia kama shetani yupo
Waliotengeneza theory za uwepo wa Mungu ndio waliotengeneza theory za uwepo wa Shetani,

Sio sahihi kusema wasiomanini Mungu basi wanamuamini Shetani........Nope
 
anyone to prove that God does not exist

Do not make your proof with so many questions consisting of ''IF GOD....'' Comeup with something concrete then I'll join you in your belief, religion or whatever.
God is not exist because no one has a proof of God existence
 
Kumbe wewe ni wa imani tu, sasa imani yako unaisadia kwa ushahidi upi?
 
God is not exist because no one has a proof of God existence
I have evidence of God's existence.
1. Good and evil can not exists without God.

Dispute if you can.
 
the opposite of white is not necessarily black. that z wa i can comment
:A S-alert1::A S-alert1:
In additive terms, black is all colors, white is no color. In light, black (dark) is the absence of light
 
Sio sahihi kusema wasiomanini Mungu basi wanamuamini Shetani........Nope
By the way, Satan is not the opposite of God, in contrast, believing in No God is believing in Satan, inter-alia, Satan is No God and not the opposite of God.
 
anyone to prove that God does not exist

Do not make your proof with so many questions consisting of ''IF GOD....'' Comeup with something concrete then I'll join you in your belief, religion or whatever.
Sidhani kama kuna mpinga Mungu mwenye uwezo huo. Wao ni wajuzi wa kusema thibitisha laikini hana akili ya kuzaidia upumbavu wao
 
bro nafikiri ungenisaidia kwa kunipa source ya knowladge yako b it a book,site o something...Please
Nafikiri Ishmael ametumia logic ile ile ya kuwa, kama hutaki Mungu basi unakubali shetani na hivyo shetani. Waje wapinge na sio kusema hatumkubali Shetani huku vitendo vayo ni ushtani mtupu wa Free ideas
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ishmaeli, jina kama la yule mwanaharam wa ...,

Naomba nikurudishe kidogo kwenye creation,
  1. Mungu alimuumba Adam na Eva/Hawa kwa mfano wake "sisi we as the same being as God!.
  2. Baada ya kutuumba, akatupulizia pumzi ya uhai "life force" into us, into our bodies, hivyo pumzi ya uhai ndio Roho ya Umungu "Gods Spirit" ilio ndani yetu na ndani ya kila mmoja wetu, "Omnipresence"
  3. Kila Binadamu mwenye "uhai" ana Mungu ndani yake!. Huu "uhai" ndio Gods Spirit, Holly Spirit, "will power" na spiritual being "I"
  4. Whether ones believes in God or not as long as s/he is alive, has God in h/im/er!.
  5. Ile "I" ndio God mwenyewe!, I believe in "I" , The Supreme Being!, call him what you may, God, Lord, Mungu, Mulungu, Mkama, Jah, "I" etc, etc its all the same!, its the "power" that matters not the name!.
Pasco
Waislam wakikusiakia kuwa unamwita Ishamel mwanaharamu watakutoa nduki. Anyways, nafikiri upo sahih kuwa dini yao ni ya mwanaharabu Adiosamigo.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna kipya hapa!,Nitaujibu huu uzi kwa kifupi ka ifuatavyo.
1.Kwanza kuwepo kwa neno"IN GOD WE TRUST",katika noti ya marekani halisababishi mimi(Atheist )nisiitumie.Kwanza lazima ujue Atheism sio DINI,ukishajua hivyo hutauliz aswali kama hilo.

Hapa namaanisha kwamba mfano,mwislam niarufuku kwenda kanisani na kusali ama mkrito kwenda mskitin kusali.Sisi hatuko hivyo .Atheism IS THE COMMON SENSE.

2.Kutumika kwa bandiko lile halituondolei chohote maana sisi sio dini na hatuko kurumbana ama kugombea kitu(afuasi wala maslahi,We are the best thinkers).Na ndio maana 96% ya kila kitu duniani tunaendesha sisi(scientists ).

3.Ukitaka tusitumie dola ya marekani eti kwa sababj ina neno,"IN GOD WE TRUST",Basi mwambie Papa(baba yenu mtakatifu) atoe zile mike zote pale Vatican,na pia atumie majani ya migomba kuhifadhi Documents zake badala ya Laptops ambayo ni kazi ya scientists mnaowapinga.Kisha mwambie akitaka kwenda kwao Argentina ama popote katika safari ya kikazi asitumie ndege bali aende kwa miguu ama ngamia au mwanapunda.

Pia mwambie shekhe mkuu wa pale mecca ama medina,awe anatumia ngamia kwenda misri sio ndege!.
Mbona mnataka kukata tawi mlilokalia? Nyie wazima kweli?

Kuna siku niliwauliza swali kwba mnbie matatizoatatu ambayo dini imeyatatua mapaka sasa hakuna aliyenijibu zaidi ya blah blah!!,
Nikweli hakuna kipya maana umesha zoea kuabudu mizimu.
 
Shetani anatumia njia mbili kuu ktk kufanya kazi yake ambayo ni kuwavuta watu kwake iwe kwa kupenda au kutokupenda.

1. Kuonesha yeye shetani hayupo; <hivyo Mungu hayupo> (hii inawakumba atheists) au hata kama yupo hana madhara (hii inawakumba waamini walio wasomi na mara nyingi vuguvugu)
2. Kuonesha kuwa ana power sana na ni source ya power zote duniani. (Hii huwakuta wote watafutao utajiri, vyeo na madaraka ya kisiasa kwa ushirikina)

Source: Pengo (tafakuri yake)
Amen mtumishi
 
Of course lazima kuwe na hitimisho ingawa hilo hitimisho linaweza kukataliwa na "Atheists". Why am I saying this, and actually pointing out that "Atheists" will be the ones who disagree with the conclusion? This is because they are the ones who are less believing. There is no two real equal sides here but rather one full side (believing about God) and the other less side(the less believing). Not empty side.

There cant be two opposite sides which have same power that eventually one would win because God is already bigger than that and his existence is already present (As we can see the creation is here). A big evidence that something (God or call him whatever you want) made it. If there would be two sides equal sides then the point of argument would have been: Us who believe standing on existing world and them who don't believe standing on their nothingness vacuum and telling us there's no creator.(Hard to swallow)

These Atheists are less believing (wana wapotevu tu) and belong to the same group although now they could be in some kind of bush.
Woooows, awesome post
 
Nafikiri Ishmael ametumia logic ile ile ya kuwa, kama hutaki Mungu basi unakubali shetani na hivyo shetani. Waje wapinge na sio kusema hatumkubali Shetani huku vitendo vayo ni ushtani mtupu wa Free ideas

Mungu,shetani,majini,roho na kila kinachoendana na hivyo ni vitu vya kufikirika.Hakuna ushahidi mwenye ushahidi alete hapa.
 
Last edited by a moderator:
Nafikiri Ishmael ametumia logic ile ile ya kuwa, kama hutaki Mungu basi unakubali shetani na hivyo shetani. Waje wapinge na sio kusema hatumkubali Shetani huku vitendo vayo ni ushtani mtupu wa Free ideas

Mungu,shetani,majini,roho na kila kinachoendana na hivyo ni vitu vya kufikirika.Hakuna ushahidi mwenye ushahidi alete hapa.
 
Last edited by a moderator:
Nikweli hakuna kipya maana umesha zoea kuabudu mizimu.

Sawa lakini nahisi umesahau kwamba hata hao waliokwambia kwamba kuna kitu/mtu anaitwa mungu walianza pia kwa kuabudu mizimu.Lakini ni vizur ukaleta ushahidi kwamba wewe una mungu wa kweli na uthibitishe hala kwamba yupo
 
Back
Top Bottom