mwaikenda
JF-Expert Member
- Mar 26, 2011
- 903
- 143
WAKUU:
1. Mtakumbuka kuwa hapa nchini kulikuwa na kashfa ya mke wa kamishna wa polisi mwandamizi aliyejipatia kipato kwa kuwalaghai vijana nchini kuwa watoe pesa ndiyo awatafutie ajira usalama wa taifa na katika jeshi la polisi. mke huyo ni wa chagonja lakini kwa kuwa nchi hii inaendeshwa kibabe suala hili limezimwa naomba chadema watakapo chukua nchi suala hili waanze nalo kwani ni kosa la jinai na halina limitation of time kama kosa la madai.( kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu haliangukii katika law of limitataion act 1971).
2. Chagonja ndiye alipotosha kifo cha mwangosi na kusema mwangosi alipigwa na kitu chenye ncha kali na kizito kilichorushwa toka upande wa pili.... kwa maana ya chadema theni baadaye wakamkamata polis aliyemuua mwangosi na kumshtak( alilopoka kwa lengo la kulisafisha jeshi la polisi dhid ya mauaji) iringa sasa hivi kesi haikjulikani imefikia wapi kwani nchi hii ni ya kulindana.
3. Waliokuwa wapangaji maeneo ya kurasini katika kota za TBA ambapo kuna wapangaji walifukuzwa bila notisi kama sheria inavyo taka hata walipo enda polisi wakaambiwa kuwa pale pana mkono wa mtu ambaye ni kamishina wa jeshi ambaye ni Chagonja na ,mpaka sasa wapangaji wale wametimuliwa
3. Ugonjwa wa manumba ni njama za kusaka madaraka wa kuulizwa ni chagonja pia ( kuna uhusianao mkubwa wa ugonjwa wa manumba na Chagonja).
my take. Mtu huyu hana cerdibility ya kuwa kiongozi wa tume kwa matukio hayo hapo juu kama mpaka mke wake katapeli hela za watu theni kesi haijulikan imefikia wapi. KUNAHITAJIKA MTU WA KUIFORMAT NCHI HII KWA KUDELETE MAFAIL YOTE.