Is Diamond overrated Jux is talented too

Who overrates Diamond?
 
Kwa kuimba sense sio kuimba tu about sex,yaani song ipendwe na watu wote mpaka wazee,kama huyu dem aijui anaitwa nandy ama candy mwenye ameimba ninogeze i find her songs zikiwa poa na adabu na message

Sent using Jamii Forums mobile app
Nandy ana nyimbo gani inayo sense zaidi ya mapenzi au nitajie nyimbo yoyote yenye msg ya Nandy au hata huyo Jux ambayo hazungumzi mapenzi. Alafu hivi unatumia kigezo gani kujua hii nyimbo inapendwa na rika zote manake, tukisema tutumie tangible evidence mziki wa Mondi ndio unao sikilizwa na rika zote (refer YouTube, Sportfy, ITunes EA, nk) au nenda kwenye sherehe yoyote ile robo ya playlist ni nyimbo za Diamond.Alafu karudie kusikiliza Aibu ya Nandy.
 
Coz Diamond ni more of mainstream artist,so waki play artist kama Jux hapo anatolewa nje n afadhali kuimba juu ya love ka candy ju love runs the world ,na Mondi ni nani?huyo simjui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Coz Diamond ni more of mainstream artist,so waki play streamline artist Jux hapo anatolewa nje n afadhali kuimba juu ya love ka candy ju love runs the world ,na Mondi ni nani?huyo simjui

Sent using Jamii Forums mobile app
Mondi aka nyingine ya Diamond na Diamond mpaka unamuona kwenye mainstream hajafika kwa bahati mbaya, bali anajituma sana sasa ndio ww ujiulize kwa nini Jux sio mainstream Artist?. Jux hata Ben Paul hamgusi, tatizo la jux nyimbo zake zinafana kimaidhui na ndio maana mm namuona kila siku yupo vile vile. Ndugu Diamond ni level nyingine hamna msanii TZ anayemkaribia kwa sasa.
 
Hapo sikatai Tz hakuna msee anamkaribia and kusema ukweli,sioni kama kutawai kuwa na msanii ka Diamond,mtunzeni [emoji1] [emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…