Latimore Mimo wangeci
JF-Expert Member
- Feb 1, 2019
- 898
- 1,081
Like if you think Diamond is overrated and comment if you think not and why,
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maybe media etc,you know media can make you or break you,if they want tooWho overrates Diamond?
Your wrong my friend, we are no longer depend on mediaMaybe media etc,you know media can make you or break you,if they want too
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo nakuuliza kwa wote wawili fame aside nani mkaliUnafananisha Ardhi na Mbingu. Jux mzuri ila hajafikia nusu ya mafanikio ya Mondi.
Music haiezi push bila help ya media,lazima Tv zikucheze watangazaji wa kuongelee ndo hu trend then by that unakuwa brand polepole tuYour wrong my friend, we are no longer depend on media
Mbona nishaeleza au huo ukali ww unaupima kwa kitu gani?
Kwa kuimba sense sio kuimba tu about sex,yaani song ipendwe na watu wote mpaka wazee,kama huyu dem aijui anaitwa nandy ama candy mwenye ameimba ninogeze i find her songs zikiwa poa na adabu na messageMbona nishaeleza au huo ukali ww unaupima kwa kitu gani?
Nandy ana nyimbo gani inayo sense zaidi ya mapenzi au nitajie nyimbo yoyote yenye msg ya Nandy au hata huyo Jux ambayo hazungumzi mapenzi. Alafu hivi unatumia kigezo gani kujua hii nyimbo inapendwa na rika zote manake, tukisema tutumie tangible evidence mziki wa Mondi ndio unao sikilizwa na rika zote (refer YouTube, Sportfy, ITunes EA, nk) au nenda kwenye sherehe yoyote ile robo ya playlist ni nyimbo za Diamond.Alafu karudie kusikiliza Aibu ya Nandy.Kwa kuimba sense sio kuimba tu about sex,yaani song ipendwe na watu wote mpaka wazee,kama huyu dem aijui anaitwa nandy ama candy mwenye ameimba ninogeze i find her songs zikiwa poa na adabu na message
Sent using Jamii Forums mobile app
Coz Diamond ni more of mainstream artist,so waki play artist kama Jux hapo anatolewa nje n afadhali kuimba juu ya love ka candy ju love runs the world ,na Mondi ni nani?huyo simjuiNandy ana nyimbo gani inayo sense zaidi ya mapenzi au nitajie nyimbo yoyote yenye msg ya Nandy au hata huyo Jux ambayo hazungumzi mapenzi. Alafu hivi unatumia kigezo gani kujua hii nyimbo inapendwa na rika zote manake, tukisema tutumie tangible evidence mziki wa Mondi ndio unao sikilizwa na rika zote (refer YouTube, Sportfy, ITunes EA, nk) au nenda kwenye sherehe yoyote ile robo ya playlist ni nyimbo za Diamond.Alafu karudie kusikiliza Aibu ya Nandy.
Mondi aka nyingine ya Diamond na Diamond mpaka unamuona kwenye mainstream hajafika kwa bahati mbaya, bali anajituma sana sasa ndio ww ujiulize kwa nini Jux sio mainstream Artist?. Jux hata Ben Paul hamgusi, tatizo la jux nyimbo zake zinafana kimaidhui na ndio maana mm namuona kila siku yupo vile vile. Ndugu Diamond ni level nyingine hamna msanii TZ anayemkaribia kwa sasa.Coz Diamond ni more of mainstream artist,so waki play streamline artist Jux hapo anatolewa nje n afadhali kuimba juu ya love ka candy ju love runs the world ,na Mondi ni nani?huyo simjui
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sikatai Tz hakuna msee anamkaribia and kusema ukweli,sioni kama kutawai kuwa na msanii ka Diamond,mtunzeni [emoji1] [emoji12]Mondi aka nyingine ya Diamond na Diamond mpaka unamuona kwenye mainstream hajafika kwa bahati mbaya, bali anajituma sana sasa ndio ww ujiulize kwa nini Jux sio mainstream Artist?. Jux hata Ben Paul hamgusi, tatizo la jux nyimbo zake zinafana kimaidhui na ndio maana mm namuona kila siku yupo vile vile. Ndugu Diamond ni level nyingine hamna msanii TZ anayemkaribia kwa sasa.
Na sikatai ndo nasema sioni ka Tz kutawai kuwa artist ka huyo,kusema ukweliDiamond ndio baba na mfalme was mziki Tz ukweli ndo huo
Haha btw ebu tell mi why?Simba wa tandale, dangote, chibu chibudee, /Nasib, Diamond platinum....
Umewahi hata jiuliza kwa nini huyu mtu ana majina mengi hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiki kiingereza chako ilibidi umwambie Ras simba akurudishie hela yako![emoji23][emoji23][emoji23]Your wrong my friend, we are no longer depend on media
Sasa mbona una mu mock atleast ametryKwa hiki kiingereza chako ilibidi umwambie Ras simba akurudishie hela yako![emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app