UncleBen
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 9,673
- 12,265
Wale waliokuwa wanatafutwa na Kingwangwala mkuu.
Asanteni sanaCome outta closet bro.
Huyo jamaa anajihusisha na mapenzi ya jinsia moja. Lee Daniels.
Dunia imebeba mengi wala siwezi shangaa sana lolote linaweza kutokea
Halafu ni Jay Z nadhani alisema Marekani kama hujaitwa choko basi ujue bado hujafanikiwa
Hata hivyo ni swala la muda tu