Alikamwe ni yanga damuSishangai uchambuzi wa jamaa anajulikana ni Mikia lialia.
Alikamwe amezungumza vyema, Feisal anapaswa kuongeza juhudi kwa kasi ana vitu ambavyo ukitazama unaona anashindwa kuvitumia, Sasa ukimpaisha zaidi Ndio wamdumazaHabari wanajukwaa?
Leo kwenye pita pita zangu mitandaoni nimekutana na hiyo mada instagram iliyoandikwa na mchambuzi wa michezo pale Azam tv anaitwa Alikamwe, ameandika mengi kuthibitisha statement yake kwamba Feitoto ni overated kwa mpira wetu hapa Tanzania.
Binafsi sikupendezwa na matumizi ya neno '' Overrated '' kwa nafasi yake kama mchambuzi kwani ni wazi anamkatisha tamaa kijana yule ambae kwa muono wangu kiwango chake kimekua kikipanda siku baada ya siku. Unawezaje kutumia takwimu za mechi moja kuthibitisha mchezaji ni overated? Hii si sawa kwa maendeleo ya vijana hawa.
Karibuni kwa michango yenu juu ya kauli hizi za wachambuzi wetu ambao mara kwa mara wamekua wakitumia akaunti zao vibaya kuandika mambo yasiyofaa kwenye mpira wetu.
Mimi ni simba lakini ndmla ana papara sana ndio sababu inawezekana ana short off target nyingi kuliko mchezaji yoyote katika vplGift mauya ni bora kuliko huyo mpemba.Kuna yule mwingne anaitwa ndemla yuko pale mikiani,wanamsifia kwa kupga mashuti lakni yote yanaenda nje.
Ajifunze kwa muzamirAll in all, Fei Toto ni fundi. Akiufanyia kazi huo ushauri, atafika mbali. Ni kweli kadogo bado kana umayai mayai! Kakiongeza stamina ya mwili wake, pumzi ya kutosha, akili ya kushambulia zaidi kuliko kutoa pasi za kusifiwa na mashabiki, akirudisha yale mashuti yake ya kushtukiza, hakika tutakafukuza ili kakajaribu bahati yake nje ya nchi.