Is forex difficult to learn?

Yule tajiri namba moja duniani Bwana Jeffrey Bezos amesema kuwa alitwanga kwa kipindi cha miaka mitano kabla ya kuanza kupata unga kwa mbali.

Changamoto kubwa ya hawa watu wa forex ni kwamba wanajifunza kwa muda mfupi na kwa tamaa kubwa mambo magumu na kuanza ku-pretend kutrade mambo ambayo hawayajui badala ya kuwekeza muda wao na akili zao katika kutwanga.Kupata unga kwa kutwanga haijawahi kuwa kazi rahisi na ya tamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…