Wakati mwingine, system zetu za elimu zinatubana kwenye kuoa/kuolewa mapema, coz kama walivyochangia wadau wengi wengine mpaka 30 anasoma bado. Ila fikiria ukiolewa/oa ukiwa 35, labda mtoto wa kwanza akapatikana by 36, kwa sisi watanzania (afadhali watoto wanaosoma miaka ya sasa wanaanza shule mapema), kijana wa miaka 25 unakuta bado hajajitegemea. Miaka yako 36 plus 25 ya mtoto, je by 61 utakuwa bado na nguvu ya kuwa-support watoto wako?
Bado hatujahesabu mtoto wa pili alikuja karibu mnagonga 40!
Mmh jamani, the earlie the better, khaaa!