Kweli kabisa umri hauna uhusiano na mambo ya kuoa/olewa.ndoa na umri havina uhusiano hata mdogo
oa/olewa ukijisikia kufanya hivyo wewe mwenyewe na ukijisikia kuishi bila kuoa au kuolewa pia hakuna tatizo au niseme hakupaswi kuwa na tatizo.
wengi wanaoshikilia wenzao waolewe/waoe ni boring old people
ndoa na umri havina uhusiano hata mdogo
oa/olewa ukijisikia kufanya hivyo wewe mwenyewe na ukijisikia kuishi bila kuoa au kuolewa pia hakuna tatizo au niseme hakupaswi kuwa na tatizo.
wengi wanaoshikilia wenzao waolewe/waoe ni boring old people
nyamayao ..............nafikiri ikiwa tutalazimisha kutizama ndoa kimisingi ya umri basi naona ni bora zaidi kuchelewa kuliko kuwahi kwa kuwa ukiwa mdogo bado unakuwa hujajitambua wewe mwenyewe nafsi yako vizuri.
ndio hicho na mie namaanisha dia ndio mana nikasema ningekuwa naifahamu ndoa wakati ule bac ningevutaga subira kidogo!
Waliopo ndani wanaona wamewahi ,na waliopo nje wanadhani wamechelewa saaaaana.
mmmh!we Nyamayao, ungeivutia subira???ina kwa sasa kuna mushkel kidogo kwenye ndoa!au?
hapana bro! kwasasa nimeshapumua sana tena sana, kashikashi zote nimezimaliza, lakini nahic niliwah sana kuingia bila kujua maana halic ya ndoa, wakati huo nikidhani ndoa ni mie na anipendae tu na ckuwazia sana kashikashi zenyewe.
Wanajuuuuuuuuuta kuolewa/kuoaWalioachika je?
I have arelative who is almost sixty,a guy,never married ,never had kids.He is so focused n principled,sometyms I dont get why its him of all pple who dint get married.When all my other relatives including those who are drunkards,irresponsible,womanisers etc are married n have kids.In Africa its like marriage is a badge of honor like if you are married you automatically become a better person.I think not.Many single people are such exemplary people and many married folk are so lousy and bad example to their kids that Ive learnt to take everyone as an individual- not just luking at marital status.
I think when its the right time you will know,it feels right but problem is that most people like to be insync with their peers instead of being bold enough to walk their own path so they end up in marriages where they are miserable.in your thirties you are mature n know who u r so you can make better choices on partners.
In conclusion I can say that when you feel like you dont have a choice or rushed to do something you are on the way to doing something u r bound to regret.the best decisions are made when there is no pressure -if youallow the pressure to marry coz of your age to get to you you will panic n end up with the wrong person.
Pole.....lol...Sijui kwanini nimefungua hii thread, imenipa msongo wa mawazo tu