Ni kweli but trust me ngoma hii angeitoa wakati yuko wcb ingekuwa ndo hit ya dunia mmngeanzisha na thread kuja kumsifia na kumfananisha na kina wizkid na davido kwakua hayupo TENA wcb ngoma inaonekana bokoKiukwel hi kazi aliyotoa imemuangusha Sana plus na management yake ni majanga me naona huyo jembe ni jembe anakula tu pesa ya mmakonde bure.
Jembe ndio atamuua huyu dogo kimuzik
You're so naive either una ugumu wa uelewa au ushabiki wa kitoto, ukiangalia idadi ya followers alionao Diamond lazima hata akitoa wimbo upate views nyingi.Wewe nawe huna ulijualo.. Et ananunua kwa nani [emoji2][emoji2][emoji2]...
Kukusaidia tu, fb, Google na ads network nyingine wanauza traffic unanunua kadri unavyoweza!!
Utakua haupo serious.Itabidi amsaini harmorapa
[emoji16][emoji16] si unajua neno ningejua huja mwisho wa safari,,, huyu mwakan lazima akimbilie kweny siasa ndio atakapo ponea hukoYaani sijui dogo aliwaza nini kwenda kwenye management kama hiyo. Kama mjanja aipige chini faster imeshashindwa kazi.
Uno imeondolewa na wanaonekana hakuna hatua zozote ambazo walichukua kumalizana na yule mkenya mapema mpaka mambo yakawa wazi.
Kwakuwa aina ya tumu huweza kukupandisha au kukuangusha, wa'Nigeria wako aggressive sana kwenye kuusukuma mziki wao sokoni na hiyo huchangia music industry yao kuwa iko juu kulinganisha na nchi nyingine za Africa.Ni kweli but trust me ngoma hii angeitoa wakati yuko wcb ingekuwa ndo hit ya dunia mmngeanzisha na thread kuja kumsifia na kumfananisha na kina wizkid na davido kwakua hayupo TENA wcb ngoma inaonekana boko
Hawalali kwa raha, wakisikia jina la Harmonize mioyo yao inalipuka kama bomu, wamepoteza nuru yaani ukisikia homa ya jiji ni Harmonize.Ila tuongee ukweli Harmonize ana waumiza Fans wa WCB.
DIAMOND ni BABA LAO,ko chance aliyopata na njia aliyopitia diamond ni tofauti na mmakonde.
Kivip mkuu?ni ngumu sana kumuwangia mmakonde,narudia tena ni ngumu sana kumuwangia mmakonde yoyote yule duniani
Ko point yako ni ipi...,wote wamepita kwa watu au kondeboy kapita kwa harmonize mbona aueleweki..?Hakuna tofauti wote wamepitia kwawatu na badaee wakafungua lebo zaoo
Kanunue au kawanunukie wa kina alikiba yaani mtu mwenye mashabiki wengi kuliko msanii yeyote east africa na africa bado unamtilia mashka kweli ushamba wa kutoka nanjilinji ni mzigo dogo kasome uje na fact na sio porojo hapa maana inaonekena hata shule ni tatizo dogo ok.Wewe nawe huna ulijualo.. Et ananunua kwa nani [emoji2][emoji2][emoji2]...
Kukusaidia tu, fb, Google na ads network nyingine wanauza traffic unanunua kadri unavyoweza!!