Is Harmonize a yesterday news?

Is Harmonize a yesterday news?

Hakuna cha between the lines.. Umecompare nyimbo zake mbili kwa kulinganisha views, unataka nijue logic ipi hapo?
Hizo views milion hata mm nikizitaka nazipata ni suala la kuboost tu either kwa adword au fb ads..
Sasa wabongo mnakaa mnapaparika na views za youtube..
Njoo na facts za kueleweka ili utetee hicho ulichoandika ila sio hizo views, maana hata huyo Diamond anaboost/nunua views sana tu!
Tuliza kichwa,soma tena nilichoandika between the lines utaelewa logic ya uzi wangu
 
Tumpe muda. Ila kama namuona anataka kua na lebel yake (The Republic of Konde Gang) kwahiyo atakua nae Boss sio muda.

Sema tatizo tulishalisema, Konde kukubalika kama alivyokua WCB sidhani aisee.
 
Kwahiyo utalazimisha kila mtu anunue? Kama unajua ni matangazo kinachofanya msifie hizo views na kuwatoa akili ni kitu gani? Bsc.ANEB,
 
Wewe nawe huna ulijualo.. Et ananunua kwa nani [emoji2][emoji2][emoji2]...
Kukusaidia tu, fb, Google na ads network nyingine wanauza traffic unanunua kadri unavyoweza!!
Hizo views huyo dogo Diamond anazinunua kwa nani? Ushabiki wa muziki wa kizazi kjpya unawatia ujinga, na ule umati wa tammasha lililofanyika recently Dar aliununua?
 
Back
Top Bottom