Is Harmonize a yesterday news?

Is Harmonize a yesterday news?

Hakuna cha between the lines.. Umecompare nyimbo zake mbili kwa kulinganisha views, unataka nijue logic ipi hapo?
Hizo views milion hata mm nikizitaka nazipata ni suala la kuboost tu either kwa adword au fb ads..
Sasa wabongo mnakaa mnapaparika na views za youtube..
Njoo na facts za kueleweka ili utetee hicho ulichoandika ila sio hizo views, maana hata huyo Diamond anaboost/nunua views sana tu!
Una ushahidi gani kwamba diamond ananunua views? Wabongo bhana...
 
Empire iliotengenezwa bongo .. haiwezi kuupelekaa mziki wetu popote pale kwanza wcb inataka kutuaminisha Tanzania nimsanii moja tu hiki ndokimeshababisha mpaka diamond kanganda hana maendeleoo yakimziki tunamuona davido alikuwa level moja tu na diamond tena naweza kusema diamond alikuwa juu ya davido lakini

Leo davido yupo juu tunamuona burnboy anatajwa kwenye tuzo kubwa duniani.. ila sisi tunaendelea kujiaminisha kwenye views ndomafanikioo ya kwenye mziki ndomaana diamond akikutana na wizkid nihabari kwa bongo ila lagos nikitu chakawaida tu kama kondeboy akutane na dudubaya ndomaana Nigeria wanatumia huu ujinga wetu kupiga bao laiti tukijitambua nakupenda mziki sio mtu wala lebo na kusapotiana

Nigeria watakuwa chini yetu tu bongo tunajuaa .. sana .. Leo hii anaonekana lava lava anajua kuliko marioo lebo hizi kama tu simba na yanga kwenye mpira .. harmoniz alikuwa mkali wcb katoka kawa mbaya na hajui kuimba .. harmoniz kuna kauli aliongea kuwa bifu za wasanii na media ndozinazosababisha mzikiwetu uwe chini. Najua TEAM WCB najua hatoielewa maana mmekunywa maji ya benderaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu acha kuwalisha watu matango pori
 
Dizain kama mambo yanakua magumu kwa kijana wetu, ngoma mbili nje ya management yake ya zamani, Uno na Kushoto Kulia, ya kwanza ilikua pushed sana media tour Afrika ya Mashariki, interview kali pale Clouds na Efm hadi wakamuandalia open concert, atleast ikapata views milioni ndani ya siku mbili tena audio.

Hii ya pili mapokezi yake yanasuasua; media kama zimemtosa hivi, amebaki peke yake na matokeo yake ndo kama haya hapa chini.

View attachment 1270352

By the way, nalia na hii management yake mpya; naona wanashindwa kuendeleza kipaji cha huyu Mwamba wa Kusini, lawama zote nazitupa kwa Jembe ni Jembe unamuangusha kijana wetu, msanii pekee anaepeperusha bendera ya nchi yetu ya Jamhuri ya watu wa Kusini na majimbo yake mawili Lindi na Mtwara.

Wenyewe tunamtegemea, msitake kutuhujumu na huku kwenye sanaa kama mlivyofanya kwenye gas, Dangote Cement, korosho na mbaazi.

Sema bana, siku ya tano sasa naona trending no.1 ni harmonize
 
Back
Top Bottom