mwakatojofu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2008
- 326
- 227
du. ingekuwa inawezekana wote wangeyaharibu hayo madude. shida yake imeonwa ujapan. lile dude ndo lingepigwa bongo kweli tungenyanyuka?
akili, maarifa na maresources yote yangeelekezwa kutatua matatizo ya liyopo na yajayo ya mwanadam - lakin wapi! ni mabifu kwenda mbele
akili, maarifa na maresources yote yangeelekezwa kutatua matatizo ya liyopo na yajayo ya mwanadam - lakin wapi! ni mabifu kwenda mbele