Is it a coincidence?

Randy orton

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2019
Posts
1,338
Reaction score
3,561
Silengi kuchochea udini wa aina yeyote ile ila najiuliza imetokea bahati mbaya tu au kuna namna nyingine kwa wale wanaoliwakilisha taifa vizuri zaidi kwenye burudani na michezo kuwa Waislam au kudai kuwa wao ni Waislam!

Au wenzetu wana elimu mmbadala ya haya mambo au tena ndio baraka tuu za Mola?

Mbwana Samatta Footballer wa kwanza kutoka Tanzania kucheza Champions League, Europa League na English Premier League pamoja na kutunikiwa tuzo ya mchezaji bora wa afrika kwa ligi zetu za ndani. n.k

Naseeb Abdul Mwanamuziki aliyeweka rekodi ya kupiga shows nyingi zaidi nje ya nchi, mwenye mashabiki na wafuasi wengi zaidi, tuzo nyingi zaidi n.k n.k

Hassan Mwakinyo, Bondia aliyerudisha Ndondi kwenye ramani tangia enzi za kina Matumla.

The list goes on.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…