Is it a coincidence?

Is it a coincidence?

...waafrika wote waliocomment huu uzi
kwa kukashfiana kidini wotee wapumbauv n wajinga.....yaani mnatukanana kwa dini zilizoletwa......na katika hizo dini hakuna muafrica hata mmoja....pumbauv kabisa acheni ujinga ndo maana mnaitwa nyan kw ujinga kama huu.........huu uzi ufutwe.....
 
Aisee, hivi umekuwa Musilamu tangu lini??, au ni uongo kama uleule wa "Arthmetical Series" umeuleta huku??
Mzee mimi nmeenda madrasa ila haimaanishi mimi ni msunni....mimi ni muislam dhehebu la kikristo

Halafu kuhusu kule arithmetic mimi sitaki kukuaibisha kwakuwa numbers don't lie wew unakomaa kuonesha ujinga wako
 
Aiseee, Leo ndiyo najua kutoka kwako kwamba Ukristo ni dhehebu, ukristo umeanza kuwa dhehebu kutoka kuwa dini toka lini??.

Wewe unasema sum (S) ya (1+2+3-----+∞) converges to (-1/12).

Mimi nasema hiyo series diverges to infinity (+∞).

Haya naomba uniaibishe hapo!!!
 
Kila mtu anayejisalimisha kwa mungu wake ni muislam...kwahyo kama huyo mungu ni yesu,jiwe,Ng'ombe n.k
Hayo ni madhehebu tu
 
Silengi kuchochea udini wa aina yeyote ile ila najiuliza imetokea bahati mbaya tu au kuna namna nyingine kwa wale wanaoliwakilisha taifa vizuri zaidi kwenye burudani na michezo kuwa Waislam au kudai kuwa wao ni Waislam!

Au wenzetu wana elimu mmbadala ya haya mambo au tena ndio baraka tuu za Mola?

Mbwana Samatta Footballer wa kwanza kutoka Tanzania kucheza Champions League, Europa League na English Premier League pamoja na kutunikiwa tuzo ya mchezaji bora wa afrika kwa ligi zetu za ndani. n.k

Naseeb Abdul Mwanamuziki aliyeweka rekodi ya kupiga shows nyingi zaidi nje ya nchi, mwenye mashabiki na wafuasi wengi zaidi, tuzo nyingi zaidi n.k n.k

Hassan Mwakinyo, Bondia aliyerudisha Ndondi kwenye ramani tangia enzi za kina Matumla.

The list goes on.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakristu wengi
1. sio risk takers
2. Wengi wamejikita kwenye shughuli rasmi za kitaaluma kama uinjia,sheria au udaktari
 
Back
Top Bottom