Is It A girl Or Boy?.....How To Tell Without Scanning It!

Ntakasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2013
Posts
1,428
Reaction score
456
Hellow Swahibaz...
Kwa mommies to be like me na daddies to be.....Imekuwa kawaida kwa wamama watu wazima kupenda kutabiri jinsia ya mtoto aliye tumboni kwa kutumia uzoefu wao...nimetafutatafuta vigezo wanavyotumia nimepata vichache hivi na naomba kwa wanaojua waniongezee vya kwao...most moms enjoy guessing rather than confirming the sex of the baby....

Kama ni mvulana...
-Tumbo linakuwa chini chini
-Unatamani vitu vichachu kama matango na ndimu,maembe mabichi n.k
-Unang'ara usoni...
-Hauchoki sana..
-Mumeo/Mchumba ana kaka zaidi ya dada..
-Una uchu wa kuku na nyamanyama..

Kama ni msichana unaweka kinyume cha hayo hapo juu...
Naomba vigezo vyenu...

Xoxo,
Ntakasi.
 
wengine mtoto .ni mtoto, tukimpata tunashukuru mungu....
 
Mie huwa nahisi hivi... Ukimpenda mtu mwenye jinsia ya kiume utazaa wa kike!

Ukimpenda mtu mwenye jinsia ya kike utazaa wa kiume
 
wengine mtoto .ni mtoto, tukimpata tunashukuru mungu....

Kweli mtoto ni mtoto ila si unajua you touch your belly and you wonder kama ni she or he.....curiosity tu...
 
mi naona umetaja virse versa! sijui lkn.

Yes..kuna wamama niliwaambia wakasema sometimes inakuwa totally opposite......it's kinda confusing ndio maana nikaleta huu uzi hapa...
 

ndo unamshawishi mzee aweke dozi ya mikuku kuku na minyama nyama?
 
Loo wakwangu anapenda chips kuku na mishikaki balaa,halafu mimi nina makaka wengi kuliko madada,by the way mtoto ni mtototu jinsia sio muhimu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…