Ntakasi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2013
- 1,428
- 456
Hellow Swahibaz...
Kwa mommies to be like me na daddies to be.....Imekuwa kawaida kwa wamama watu wazima kupenda kutabiri jinsia ya mtoto aliye tumboni kwa kutumia uzoefu wao...nimetafutatafuta vigezo wanavyotumia nimepata vichache hivi na naomba kwa wanaojua waniongezee vya kwao...most moms enjoy guessing rather than confirming the sex of the baby....
Kama ni mvulana...
-Tumbo linakuwa chini chini
-Unatamani vitu vichachu kama matango na ndimu,maembe mabichi n.k
-Unang'ara usoni...
-Hauchoki sana..
-Mumeo/Mchumba ana kaka zaidi ya dada..
-Una uchu wa kuku na nyamanyama..
Kama ni msichana unaweka kinyume cha hayo hapo juu...
Naomba vigezo vyenu...
Xoxo,
Ntakasi.