Is it a gud idea to watch movie with the entire family? check it up

Mitchell

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
904
Reaction score
1,036
Ilikuwa hivi, familia wapo sitting room wakiangalia DVD ya movie siku ya weekend sasa kuna sehemu flani ikafikia wahusika wakaanza kukiss huku wamelegeza macho huku akiendelea kumvua blausi mhusika wa kike, yu know wat Im talking about, sasa kaka mtu ndio alikuwa kashika remote kuona vile akajua kitu gani kitaendelea hivyo akaona isiwe tabu cha msingi na cha sekondari hapa ni kuforward hii party ili akija kuplay wale washikaji washamaliza.

Basi huku akiwa kaangalia pembeni akabonyeza, kilichomstua ni kuona ukimya uliotawala kama dakika tano hivi ndio akaamua kugeuka kujua kulikoni ile kugeuka tu akakutana na baba yake amekunja uso vibaya sana. Kumbe jamaa alikuwa amebonyeza kitufe cha SLOWLYYYYYYYYYYYY……………………………..
 
Ilikuwa hivi, familia wapo sitting room wakiangalia DVD ya movie siku ya weekend sasa kuna sehemu flani ikafikia wahusika wakaanza kukiss huku wamelegeza macho huku akiendelea kumvua blausi mhusika wa kike, yu know wat Im talking about, sasa kaka mtu ndio alikuwa kashika remote kuona vile akajua kitu gani kitaendelea hivyo akaona isiwe tabu cha msingi na cha sekondari hapa ni kuforward hii party ili akija kuplay wale washikaji washamaliza.

Basi huku akiwa kaangalia pembeni akabonyeza, kilichomstua ni kuona ukimya uliotawala kama dakika tano hivi ndio akaamua kugeuka kujua kulikoni ile kugeuka tu akakutana na baba yake amekunja uso vibaya sana. Kumbe jamaa alikuwa amebonyeza kitufe cha SLOWLYYYYYYYYYYYY..
Sinema za siku hizi ni za hovyo sana. Mashoga, wasagaji, kunuanduana nje nje
 
Ilikuwa hivi, familia wapo sitting room wakiangalia DVD ya movie siku ya weekend sasa kuna sehemu flani ikafikia wahusika wakaanza kukiss huku wamelegeza macho huku akiendelea kumvua blausi mhusika wa kike, yu know wat Im talking about, sasa kaka mtu ndio alikuwa kashika remote kuona vile akajua kitu gani kitaendelea hivyo akaona isiwe tabu cha msingi na cha sekondari hapa ni kuforward hii party ili akija kuplay wale washikaji washamaliza.

Basi huku akiwa kaangalia pembeni akabonyeza, kilichomstua ni kuona ukimya uliotawala kama dakika tano hivi ndio akaamua kugeuka kujua kulikoni ile kugeuka tu akakutana na baba yake amekunja uso vibaya sana. Kumbe jamaa alikuwa amebonyeza kitufe cha SLOWLYYYYYYYYYYYY..
Zulu man ona wahuni wa enzi zenu😂🤣
 
Zulu man ona wahuni wa enzi zenu😂🤣
Hao ni wahuni ,siwezi kuangalia yeyote na vibinti vyangu kama haina maelekezo ila nje ya hapo cartoons naangalia nao,comedy na nyingine zenye maudhui mazuri na kama niko karibu kama hivi wanafahamu nini wanatakiwa wafanye

Ila na mama yao tunaangalia za tabia mbaya na huwa tunaelekezana kwa vitendo "pale alitakiwa amlambe nyonyo hiviiiii "🤣
 
Back
Top Bottom