Is it appropriate.....?

Is it appropriate.....?

Mnunulie shati zuri, ni kumbukumbu nzuri na ya Muda mrefu
 
Mie napenda sana maua ukiniletea nitafurahi sana.

Tatizo tu hayadumu hapo ndo shida inapoanzia
 
Mie napenda sana maua ukiniletea nitafurahi sana.

Tatizo tu hayadumu hapo ndo shida inapoanzia

Basi ntakuletea natural na artificial.....
Natural yakiisha artificial yanabaki kumbukumbu.....
 
Tukiacha habari ya zawadi hapa naona kuna jambo linajificha,kwa namna ambavyo sisi waafrika tulivyo ikifikia urafiki wa mpaka mtu kufikiria kumpelekea rafiki yake zawadi ya maua(haijalishi ni maua ya namna gani) basi ujue hapo kuna jambo au litafuata jambo.
Siku hizi zawadi ni nyingi kutokana na muingiliano wa tamaduni mablimbali nchini kwetu hivyo inategemea na mtu anapenda nini,kwa mfano huwezi mpelekea mtu pombe wakati unajua fika kuwa hanywi au zawadi yoyote ambayo haitampendeza.
Pia zawadi iwe ya kiwango kidogo kulingana na urafiki wenu na iwe na mipaka maana utakuta wengine wanafikia kutoa hadi nguo za ndani kitu ambacho nadhani kinavuka mipaka ya urafiki wa kawaida.
 
Goodmorning to you all......

Ni matumaini yangu kuwa nyote mpo salama.....nimewamiss kimtindo!
Mimi I have got one question - Is it appropriate for a lady to send a guy flowers on his birthday.....? In just a friendly gesture....

Kwa mfano; if you are a guy, and you have just received flowers from your friend (a lady) what would be your response.....?

And for my fellow ladies.... what would you give for a friend on a birthday eti...?

I mean.....am just thinking
!!:msela:


Kama wewe binafsi unahisi zawadi inaweza kuleta hisia tofauti na malengo yako, basi kimsingi huyu jamaa sio rafiki 'plain'...
Kama n rafiki wako wa ukweli huna huja ya kujiuliza zawadi ya kumpa...........nadhani kuna chembechembe za kushindwa kuendelea na urafiki, na mkawa zaidi (ndio maana unakua na woga wa hisia zake kwa zawadi yako)....

Was just thinking it loud...am out smiles....and i missed them smiles...:coffee::coffee:
 
Just send me a smile and I will love it!
 
Back
Top Bottom