MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Habari wanajamvi
Kuna kitu kinaitwa ethics (what is right and what is not) na katika mapenzi/ mahusiano. Vile vitu ambavyo ni sawa kumfanyia mwenzi wako. Ethics katika ndoa involves how people (Spouses) should treat each other.
Sasa ninauliza suala la kuchunguzana kwa maana ya spying mume/mke wako kwa siri ili ujue kama ni mwaminifu au la. Je ni sawa- is it ethical to spy your partner? .Partner hapa namaanisha wale wanaomilikiana kihalali -kwa maana ya kuoana rasmi.
Kuna wanaosema kuwa si vizuri kumchunguza mpenzi wako kwani ni ishara ya kutomtrust na kama kuna information yoyote kumhusu yeye ni vema ukamwuliza mwenyewe badala ya kuspy
Nini mtazamo wako katika hili?