Is it not contradictory to say prayers to the same God who allowed Africans to be colonized, cudgelled and harshly treated by the Colonizers?

Is it not contradictory to say prayers to the same God who allowed Africans to be colonized, cudgelled and harshly treated by the Colonizers?

Each country has been colonised. Africans has mistreated the Israelites in Egypt so we have paid it. The Bible says whatever a man saw he will reap!
Mkuu, hata mimi ninasali and I believe in God as you do though not quite sure that we follow the same doctrines. Hii ni mada ya kawaida sana, nimejiengua na kuianzisha just for Educational purposes, ila kwa bahati mbaya naona umekuwa tempered na umeshambulia kwa haraka. That 's not how things are supposed to be, innit? 🤠
 
Tatizo lenu hamfahamu misingi ya ulimwengu na uwepo wa ukimwengu wa roho. Fahamu kuwa kuna Mungu na kuna shetani na wote huwatumia wanadamu. Kwa hiyo sio kila kitu unachokiona kimekusudiwa na Mungu. Mungu ni mwema wakati wote na hapendi mtu yeyote apotee!. Lakini ametupa uhuru tuamue kwa hiari kumfuata au kumfuata shetani. Mila na desturi nyingi zina asili ktk ufalme wa giza ambao mwanadamu ameukubali kwa hiari tangu Adamu.
Sidhani kama umeelewa kinachojadiliwa, licha ya kwamba ulichosema ndio ukweli mtupu. Mada imejikita hasa kwenye upendo na nguvu ya Mungu dhidi ya madhila ya mwanadamu. Kwa nini?
 
I present this question to you. What sin did our African ancestors commit that made God justify African colonization and harsh treatments from western colonizers?
Kitendo cha kutumia lugha hii, sioni kama unajua vema vita unayopigana
 
Dunia imekuwa na ukoloni tangu binadamu waanze kuwa na states.
Japan imewahi kuzifanya China na Korea makoloni yake, Misri ya mafarao ilikuwa inazifanya States nyingine makaloni yake, Ulaya wao wenyewe kwa wenyewe tangu enzi za Roman Empire walikuwa wanafanyana makoloni mpaka walipochoka na kuamua kutoka nje ya Ulaya.
Ni kweli dunia imekuwa na ukoloni tangu kale, ila where is God when some people are being treated harshly? Kama yeye-Mungu ni just kwanino awaache wengine wapitie shida kwa kukandamizwa na wengine?
 
Uwezo wa mtu haupimwi kwa lugha anayotumia, mbona unajipa conclusions za hovyo kiasi hiki?
Sasa kama lugha tu inadhihirisha kua mhusika ni mtumwa, nin ziada
Au hakujua hadhira yake ni watu gani
 
Back
Top Bottom