Is it possible for a Tanzanian to open a bank account in kenya

Hello guys, I am desperately looking for an answer to this question? Is it possible? What are the appropriate steps to be taken? Can i oversee and continue using internet banking services while not in kenya as usual. Thanks in advance.

Best Regards
Fungua a/c Tanzania ya Equity au KCB halafu uje Kenya kusaka tonge. Haina shida bro
 

Nasubiri jumatatu nikawaulize maana wana tawi hatua chache kutoka kwangu hapa, ila sitegemei kama kuna usumbufu wa kiasi hicho.

Japo Tanzania ndio najua kuna usumbufu balaa, hakuna mgeni anayeruhusiwa kufungua akaunti ya benki Tanzania bila kibali cha work permit ambacho pia ni ghali na kukipata sio mchezo, urasimu mwingi, unakuta Mtanzania mmiliki wa kampuni anayekualika ukamfanyie kazi inambidi abembeleze sana kwenye ofisi za wizara ya labour na uhamiaji pamoja na kwamba amelipia ada zote za vibali.
 
Hata Kenya, bila ya work permit hufungui akaunti, work permit yenyewe inachukua miezi hadi uipate, ni usumbufu kwa kweli. Hii nilipitia kwa KCB, Equity na Stanbic, zote sheria ni hizo hizo.
 
Kiinglishi cha mkwara!![emoji28][emoji28][emoji28]
Hehehe 😀 acha uchokozi wewe hamna cha mkwara wala nini hiki kilugha kilitua anga hizi kwa meli bana 😀. Ingekuwa vyema kama ungemweleza alipokosea ili arekebishe. Mbona navoona mimi yupo freshi tu wala hapo hajakosea lolote, labda comma tu. Happy new year.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…