Is it possible to make $300+ kwa mwezi UpWork ukiwa Tanzania? Inawezekana au haiwezekani?

Mkuu post ndo nimeisoma leo, sina idea ya chochote ulichokielezea, unaweza kunipa msaada gani juu ya mada yako kupata pesa?
Samahani kama nitakuwa nimekukwaza.
 
Mkuu post ndo nimeisoma leo, sina idea ya chochote ulichokielezea, unaweza kunipa msaada gani juu ya mada yako kupata pesa?
Samahani kama nitakuwa nimekukwaza.

Haujanikwaza mkuu.

Kuuliza si ujinga.

Unaweza nitumia email nitakupatia mafunzo + mentorship.
 
Upwork mbona hawajaverify account yangu wananitaka nini? Ukipata kazi nyingi na wewe unaziuza kwa watu wanafanya kwa niaba yako
 
Upwork mbona hawajaverify account yangu wananitaka nini? Ukipata kazi nyingi na wewe unaziuza kwa watu wanafanya kwa niaba yako

Hapa nime-share basics tu mkuu.

Kama utahitaji msaada zaidi ili maombi yako yapotishwe you will pay me. And I will show you how to land your first offer.

Karibu.
 
Mkuu unavunja sheria za JF.

Kwenye hili jukwaa hairuhusiwi kuweka link ya aina yoyote. Mod akiona unaweza pata ban.

Ndiyo Payoneer fee iko chini zaidi.

Nimeanza kutumia Payoneer recently. Ni option nzuri
 
Mkuu post ndo nimeisoma leo, sina idea ya chochote ulichokielezea, unaweza kunipa msaada gani juu ya mada yako kupata pesa?
Samahani naomba msaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…