yeah, inakubali tu kuachanishwa na Muumba sio? Hivi babke yesu kabla ya kuwa na Maria hakuwahi kuoa kabisa?Biblia inakataza kabisa kabisa kuachana. Nashauri kutafuta namna ya kureconcile badala ya
hii ya kuwa na term interactions.
GY uko njema sana upstairs.... swali hili limemaliza kabisa mjadalaAisee nilipoona hii nikajua mambo ya Lerionka yemerudi tena, "Is it possible to hold a spear in one hand and a book in the other"?...
Inawezekana mkiamua kuweka watoto wenu mbele na kuacha mambo ya kukomoana.
Maty na Nyamayao, nimewaweka akiba. Siku yakinikumba ntawakodisha na mdundiko nyuma nyie mbele mie kati. MJ1 atakua mpiga picha wetu,kha!
MJ1,pole. Lakini ukaribu na huyo baba sarawili unakuchelewesha ku-move on. Jiulize unamkaribisha becoz u ar single ama hata ukiwa na mahusiano/ndoa still utamkaribisha? Kama jibu la kwanza ni applicable,it is nt worth it.
hahahaha mie namuona maty kachizika zaidi aise, ntamuweka mbele yangu mie nimfate kwa nyuma,hahahah....mie nasemaje kuhusu huyu kaka kwamba kweli alipata mwanamke.....