TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
April am telling you, hiyo level niliyokuwa nimeiweka I was struggling to death, sasa bado mtu ananiambia niongeze?? Hivi nyie kina baba, umuabuse mwenzi wako, including vipigo vya kila mara na bila kuangalia ni barabarani au la, umfanye atake responsibilities zako simply because anafanya kazi, na bado umdhalilishe but yeye aendelee kukuheshimu kwa kukupa nafasi ya kuja kuwaona wanao, wanao wanaumwa wewe hujui wanatibiwaje (na si kuwa huambiwi, ila ukiambiwa ndo unakata mawasiliano only to wait usikie kuwa wanaendelea vema au wamepona ndio unakuja kuwachukua kwa matembezi na show offs, hujui wanao wanakula nini, wanavaa nini sana sana ukija ukakuta wamevaa nguo ulizowahiziona unakazana kuuliza hivi hawa hawana nguo nyingine??- unatizamwa kimya bila hata kufanyiwa vurugu. Halafu bado unatoka unalalamika kuwa unaonewa ! ah kusema ukweli najiona nimekuwa malaika vya kutosha, now I need that Devil in Me, kwa kweli
.........and then bado unakuja kutuuliza kama is it possible, wacha nikupe vidonge vyako umeze au uteme, i am your brother and i have to call it like it is, HAIWEZEKANI KWA HIYO CASE YAKO NA KAMA UTARUDI HAPO UTAKUA MPUUZI WA WAHED!!
sijakutukana, nimeongea tu kama loving brother