Is It Possible?

Nemo, maslahi ya mtu ni ya mtu mwenyewe, yani hapo hakuna cha right wala wrong bali kuna cha facts or not...

to DC ile ndio fact yake, mie nitagawa maslahi yangu kwa watoto sana tu na kila ninapoishi nitawafikiria, lakini kamwe sitaweka kichwani ex wife wangu unless kama anayofanya yatakua negative kwa watoto


JUST TO CONCLUDE ON MY SIDE, HII YA MJ1 NI NGUMU KUMEZA WALA KUTEMA
 
Kwa nini watu wahanajihangaisha na kids' happiness baada ya kuachana wakati wangeweza kuifikiria na kuipa nafasi kabla ya kufanya maamuzi mazito ya kuachana??

Just because a parent opted out of their marriage, it doesnt mean he/she cares less about the children's happiness! !!!
 

Ndo maana hata mimi nawashauri, kama kweli hawataki kumegwa megwa kama ice cream za watoto wa shule waache mchezo wa kuendekeza mawasiliano na vikao na ma-ex wao!
 

DarkCity
Duh....................This is very insightful

Mwanajamiione
Sorry for venturing out of the topic
 
Just because a parent opted out of their marriage, it doesnt mean he/she cares less about the children's happiness! !!!

Kuwajali watoto haina maana kuwa na mikutano na majadiliano ya mara kwa mara na mama yao (ambaye tulishindwana anyway)!

Ndo maana nikasema kuwa mtego wa watoto siku zote unawaumiza wanawake zaidi kuliko wanaume...Ukiona mwanamume anafuatilia fuatilia watoto kwa Ex wake...basi jua kuna jambo zaidi ya watoto analolitafuta!!
 
just because a parent opted out of their marriage, it doesnt mean he/she cares less about the children's happiness! !!!
caring about children doesnt mean you have to be with your ex-wife

btw, wewe una ndoa au uko kwenye hypothetical life?
 

I am just worried kama tunaongea na mtu mwenye family aisee, yani kipimo cha kujali watoto ni kuongea na mama yao??? what if it was an abusive relationship? what if it is not important?

I am sorry, but none of use here has asked about terms zilizosababisha separation in the first place
 
DarkCity
Duh....................This is very insightful

Mwanajamiione
Sorry for venturing out of the topic

Hahahahaha...Unastushwa na hilo tu,

Kwa taarifa yako, mwanamume (tena wa kiafrika) akimwacha mwanamke anatamani kumwona akiwa kichaa anaokota makopo au amefulia hadi chawa wanagawana vipande vipande vya mwili wake... That way anaamini kweli Mungu alikuwa amekutoa kwake ila kwa ujeuri wako sasa unaonja joto la jiwe!! Habari ya watoto haipo kabisa kichwani mwake linapokuja suala la kumfikiria mtalaka wake!!

Mwanamume aliyekuacha akikuona unatanua tena na dume jingine, anatamani akaazime bastola ili asione tena hicho kitu ambacho kinampa pressure kama vile amebakiza dakika 10 kuaga dunia!!

Mwanamume kiumbe tofauti na mnachoona kinatembea njiani....kuwa makini na chukua hatua!!
 
caring about children doesnt mean you have to be with your ex-wife

btw, wewe una ndoa au uko kwenye hypothetical life?

MTM

Hey what has anything got to do with anything? To answer your quen siko kwenye ndoa................but I once dated a guy(not married) but with a kid . Issues or sherehe to do with the kid, I always stepped back , na nilikuwa nakataa kuhudhuria out of respect kwa mama mtoto. Mimi kama mwanamke was and am aware that, my presence doesnt serve none but kero so i let it be!!!!!!So maybe the issue sio ex but ni hao ma loveydovey when who do not know what and how to behave....just saying:eyebrows:
 

Ni kweli ila binafsi nimejaribu kuongelea basic rules. Nadhani zinaweza kumsaidia mleta mada au mtu yeyote!

Hili suala la watoto linawaumiza wanawake wengi...my mom was one of them!!

Hata bibi DC ikifikia maongezi yanayohusu maisha bila mimi na watoto watakuwaje...kweli huwa namwonea huruma!

Bahati mbaya kwa wanawake, mtego wa watoto ni mgumu kuukwepa!
 

Sweetie mbona hili ni rahisi sana!? Mie nimewaona watu (mke na mume) waliaochana wanaelewana mpaka unashangaa. Niliwahi kuwauliza one couple kama mnaelewana hivi kwanini msirudiane. Wakaniambia wameshaamua kuwa mbali mbali lakini for the sake of their children ni lazima waelewane kwa kiwango cha hali ya juu. Sikutaka kufuatilia zaidi lakini nilihisi kwamba kama wanapopata nafasi basi huwa wanazima taa na kukumbushana enzi zao 🙂🙂. Watu wengine wana bahati zao, lakini wengine kunakuwa na chuki ya milele hata mmoja akijaribu vipi mwingine ni mnuno tu kwa kwenda mbele, sasa ukute wote ndio wa aina hiyo basi ni balaa tupu.
 
Yote inawezekana, inategemea mlimaliza uhusiano kwa njia gani. Binafsi mwaka 2008 nilihudhuria katika arusi ya ex-wangu na mchango nilitoa. Better say, tulitoa kwani marafiki sote (we have still the same friends for 15 yrs now) tuliamua kuchanganya mchango wetu na kumnunulia kitu cha maana. Mwaka jana alikuja yeye na mume wake kunitembelea, na mwaka huu nimeenda kumwona mumewe wakati almefanyiwa operesheni ya moyo.

Vile vile jamaa yangu wa karibu sana (mwanamke) aliwachwa, mume akaoa mwengine, na yeye ameolewa. Hivi sasa yeye na mke wa ex-wake ni marafiki, wanatembeleana, wanaalikana na kuhudhuria kwenye shughuli pamoja, za misiba na furaha.

Cutting it short, inategemea mlitengana kwa njia gani. Ikiwa kwa usalama na urafiki kama mlivyoanza, kwa nini isiwe?
 
Mbona umebadilisha Avatar???? wapi Che?
 
Mbona umebadilisha Avatar???? wapi Che?
Nimemweka pembeni kwa muda. Im digesting the other side of his history I learn recently. He's blamed (with a lot of evidences) that he was a cold-blood killer of innocents. It pained coz he's my idol!
 
worry not mdogo wangu

ndoa has everything to do with this coz ndio chanzo cha swali la MJ1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…