na je ini lina uwezo ku-regenerate?
Well, seems liver transplantation inafanyika na inakuwa na failure rate ya 10 to 15% kutokana na complications. Japo wanadai kuna baadhi ya magonjwa ambayo hauwezi kufanyiwa hiyo transplant. Asante kwa swali lililofanya nifuatilie hii issue.
Qa uelewa wangu mdogo wa elimu ya viumbe;Seli za ini ni sawa na za ubongo;
Haziwezi ku-rejenereti.
Zikifa zimekufa.
Uzuri wa ini hata kipande kidogo kinaweza kufanyakazi vizuri iwapo hautaki-overload.
Haiwezekani tu kufanya transplantingi ya ubongo tu;
Viungo vingine inawezekana.
Bazazi!
u mean hata heart transplation inawezekana, I don't think so kwa kwel
Qa uelewa wangu mdogo wa elimu ya viumbe;Seli za ini ni sawa na za ubongo;
Haziwezi ku-rejenereti.
Zikifa zimekufa.
Uzuri wa ini hata kipande kidogo kinaweza kufanyakazi vizuri iwapo hautaki-overload.
Haiwezekani tu kufanya transplantingi ya ubongo tu;
Viungo vingine inawezekana.
Bazazi!
Mrimi, Hujambo Bandugu?Mkuu nahisi inawezekana hauko sawa. Sina hakika kama hepatocytes na brain cells(neurones,glia cells na wenzake!) kama zinafanana labda iwe mfanano unaomaanisha wewe sio ninaoujua.
Lakini pia cell regeneration ninayofahamu mimi hata liver ina-regenerate,labda iwe regeneration unayosema wewe ni tofauti na ile ninayoifahamu.Na kama liver inapata demage,kuna uwezekano wa kuregenerate kureplace lost cells intead of increasing cell functionality(kama ulivyosema)