Is it possible?

Is it possible?

mngony

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2012
Posts
5,555
Reaction score
6,972
hivi inawezekana kufanyika Liver transplantation? na je ini lina uwezo ku-regenerate?
 
Ini lina uwezo wa ku regenerate. Lakini inategemea limeumia ama kufa kwa kiasi gani. Sina hakika na %, lakini afya ya mtu na masharti yanavyozingatiwa kutaamua kama ataweza kurudi kwenye order kiasi gani.
Sijawahi kusikia successiful work ya kufanya liver transplant. Ngoja nikagoogle aisee.
 
Well, seems liver transplantation inafanyika na inakuwa na failure rate ya 10 to 15% kutokana na complications. Japo wanadai kuna baadhi ya magonjwa ambayo hauwezi kufanyiwa hiyo transplant. Asante kwa swali lililofanya nifuatilie hii issue.
 
na je ini lina uwezo ku-regenerate?

Qa uelewa wangu mdogo wa elimu ya viumbe;
Seli za ini ni sawa na za ubongo;
Haziwezi ku-rejenereti.
Zikifa zimekufa.
Uzuri wa ini hata kipande kidogo kinaweza kufanyakazi vizuri iwapo hautaki-overload.​

Haiwezekani tu kufanya transplantingi ya ubongo tu;
Viungo vingine inawezekana.

Bazazi!
 
Well, seems liver transplantation inafanyika na inakuwa na failure rate ya 10 to 15% kutokana na complications. Japo wanadai kuna baadhi ya magonjwa ambayo hauwezi kufanyiwa hiyo transplant. Asante kwa swali lililofanya nifuatilie hii issue.

ahsante na ww pia,
 
Qa uelewa wangu mdogo wa elimu ya viumbe;
Seli za ini ni sawa na za ubongo;
Haziwezi ku-rejenereti.
Zikifa zimekufa.
Uzuri wa ini hata kipande kidogo kinaweza kufanyakazi vizuri iwapo hautaki-overload.​

Haiwezekani tu kufanya transplantingi ya ubongo tu;
Viungo vingine inawezekana.

Bazazi!

u mean hata heart transplation inawezekana, I don't think so kwa kwel
 
Ni kweli kaka, inawezekana.
Ya kwanza ilifanywa Afrika Kusini miaka ya mwanzo ya 1980.

Bazazi!
 
Qa uelewa wangu mdogo wa elimu ya viumbe;
Seli za ini ni sawa na za ubongo;
Haziwezi ku-rejenereti.
Zikifa zimekufa.
Uzuri wa ini hata kipande kidogo kinaweza kufanyakazi vizuri iwapo hautaki-overload.​

Haiwezekani tu kufanya transplantingi ya ubongo tu;
Viungo vingine inawezekana.

Bazazi!

Mkuu nahisi inawezekana hauko sawa. Sina hakika kama hepatocytes na brain cells(neurones,glia cells na wenzake!) kama zinafanana labda iwe mfanano unaomaanisha wewe sio ninaoujua.

Lakini pia cell regeneration ninayofahamu mimi hata liver ina-regenerate,labda iwe regeneration unayosema wewe ni tofauti na ile ninayoifahamu.Na kama liver inapata demage,kuna uwezekano wa kuregenerate kureplace lost cells intead of increasing cell functionality(kama ulivyosema)
 
Mrimi, Hujambo Bandugu?
Hio ni elimu yangu ndogo;
Elimu ya Viumbe;
Nilikuwa nastahili kukosolewa qani sio MD miye.

Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
Mrimi, Hujambo Bandugu?
Hio ni elimu yangu ndogo;
Elimu ya Viumbe;
Nilikuwa nastahili kukosolewa qani sio MD miye.

Bazazi!

Hakuna anayejua kila kitu mkuu chini ya jua.Tunafanya kushare knowledge tu.
 
Back
Top Bottom