Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
I do belive kuwa hasa "akili" inaanza kuja at the age of 30,ila ukishafikisha 40 unakuwa ni mwenye uwezo mkubwa wa kuyatazama mambo kiuhalisia zaidi!Ukitaka kuyajua hayo watazame watu wenye umri huo unaowafahamu utaliona hili kwa upana wake!Ukifika umri huu halafu bado una yale mambo ya "fulish" age hautabadilika kamwe!Hata humu mada,michango pamoja na namna mada na michango hiyo inavyoandikwa utaweza kuujua umri wa mtu kirahisi sana.Hata yule anaejidai kujikopi bado anaangukia kwenye ujinga,ni ujinga kwa sababu huwezi kutaka uonekane kituko wakati wewe hulipendi jambo hilo,labda ingekua ni kazi,unalazimika uact tofauti ili uifanye kazi vyema!Au kwenye muvi sawa,hatutakushangaa!
Kuna kamsemo kuwa maisha huanza ukiwa na miaka 40. Je kuna ukweli kwenye kaulimbiu hii? Madai huwa kabla ya 40 bado ni limbukeni unarukia mambo kwa sababu hujakomaa na huna busara. lakini after 40 unakuwa tayari umekwisha kupita kwenye tanuru la elimu dunia na maamuzi yako yanaongozwa na busara hukurupuki na hivyo shari mara nyingi kukupita kwa mbali.
Je upo ukweli hapo?

Au tuseme Busara na hekima ndio hukuanza ktk umri huo, kwa nijuavo mimi maisha huanzia pale mtu anapozaliwa...
Habari ya asubuh bwana Rutas...
Are you in your forties?
At fifteen my heart was set on learning;
At thirty I stood firm;
At forty I had no more doubts;
At fifty I knew the mandate of heaven;
At sixty my ear was obedient; at seventy I could follow my heart's desire without transgressing the norm
- Confucius (Confucius - Wikiquote)
ingekuwa ni mtihani marks ni 85% - A
I do belive kuwa hasa "akili" inaanza kuja at the age of 30,ila ukishafikisha 40 unakuwa ni mwenye uwezo mkubwa wa kuyatazama mambo kiuhalisia zaidi!Ukitaka kuyajua hayo watazame watu wenye umri huo unaowafahamu utaliona hili kwa upana wake!Ukifika umri huu halafu bado una yale mambo ya "fulish" age hautabadilika kamwe!Hata humu mada,michango pamoja na namna mada na michango hiyo inavyoandikwa utaweza kuujua umri wa mtu kirahisi sana.Hata yule anaejidai kujikopi bado anaangukia kwenye ujinga,ni ujinga kwa sababu huwezi kutaka uonekane kituko wakati wewe hulipendi jambo hilo,labda ingekua ni kazi,unalazimika uact tofauti ili uifanye kazi vyema!Au kwenye muvi sawa,hatutakushangaa!
Nina baadhi ya sababu hapa za kupinga hio mada;
1)Life is learning, falling down and getting up (Hii inaanza2 ukishazaliwa).
2)Kuna watu above 40 lakini akili zao ndogo compared to Teenagers.
3)Not all people mature at the same age(wengine huwahi na wengine huchelewa-binadamu hawako sawa)
conclusion: I agree to disagree...
ni kweli kabisa, maisha yanaanza at 40.
'Life' hapa sio uhai, mi naifikiria kama ni freedom labda, confidence abt your life,
at fourty and above you can feel free to be in your skin, you can stop wondering what your life will be like, you can stop fearing what ppl think abt you.
You better start living your life as you please within your own beliefs and not pretending
yeah, time to start living......................really living and enjoy every once of your Beloved breath................