Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Kuna kamsemo kuwa maisha huanza ukiwa na miaka 40. Je kuna ukweli kwenye kaulimbiu hii? Madai huwa kabla ya 40 bado ni limbukeni unarukia mambo kwa sababu hujakomaa na huna busara. lakini after 40 unakuwa tayari umekwisha kupita kwenye tanuru la elimu dunia na maamuzi yako yanaongozwa na busara hukurupuki na hivyo shari mara nyingi kukupita kwa mbali.
Je upo ukweli hapo?
Je upo ukweli hapo?