mbona wametaka wa IFM inamaana hapo UDSM hamna wahasibu?? au unataka sema sio "maarufu"Ngoja waje wahusika.
mbona wametaka wa IFM inamaana hapo UDSM hamna wahasibu?? au unataka sema sio "maarufu"
vip bandugu mbona hapo umegeuka mbogo!! jibu swali?? UD hawapo??kamuulize bibi ako mzaa bibi ako..sily qsn.
Habari zenu wote,leo naomba niulize au nijuzwe kwa hili.Nakumbuka katika pitapita zangu kipindi cha nyuma nilikutana na tangazo la ajila kutoka NMB katika gazeti moja la kiingereza,ajila ilikuwa inataka muhasibu alafu ilimalizia kwa kusema hivi "IFM GRADUATES ARE ADDED ADVANTAGES",Je wadau mnasemaje hapa.
NB:"KAMA UWEZI KUCHANGIA PLEASE KAA PEMBENI,MSILETE USHABIKI HAPA,THIS IS THE PLACE FOR GREAT THINKERS ONLY"