Is it true "ifm is the center of excellent in accountancy and related fields"

Is it true "ifm is the center of excellent in accountancy and related fields"

fox

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
313
Reaction score
614
Habari zenu wote,leo naomba niulize au nijuzwe kwa hili.Nakumbuka katika pitapita zangu kipindi cha nyuma nilikutana na tangazo la ajila kutoka NMB katika gazeti moja la kiingereza,ajila ilikuwa inataka muhasibu alafu ilimalizia kwa kusema hivi "IFM GRADUATES ARE ADDED ADVANTAGES",Je wadau mnasemaje hapa.
NB:"KAMA UWEZI KUCHANGIA PLEASE KAA PEMBENI,MSILETE USHABIKI HAPA,THIS IS THE PLACE FOR GREAT THINKERS ONLY"
 
Kuna ukweli fulani especially enzi hizo wakati wanatoa Advanced Diploma.Kuna takwimu zilitolewa na NBAA zinazoonesha kiwango cha ufaulu wa mitihani ya CPA(T) na waliomaliza IFM ndo waliokuwa wanaongoza kwa kiwango cha ufaulu.
 
Kwa wale waliopita high school ni wazuri lkn certificate WaPo ovyo
 
yes i agree IFM is the best institute in tanzania niliingia ifm kwa shingo upande baada ya kuikosa udsm na sua,lakini mpaka leo nafurahii kusoma kutokusoma hivo vyuo pendwa i am proud to be advance diploma maana matunda yake nayaona nanalipa sana! niliishi city centre for three years ilinifanya kuwa na channel nyingi sana za maisha! nakumbuka enzi hizo tulikuwa tunafanya application kwa katibu mkuu wizara ya fedha!
 
Institute of Fashion and Modelling ila kiukweli wapo vizuri...
 
Habari zenu wote,leo naomba niulize au nijuzwe kwa hili.Nakumbuka katika pitapita zangu kipindi cha nyuma nilikutana na tangazo la ajila kutoka NMB katika gazeti moja la kiingereza,ajila ilikuwa inataka muhasibu alafu ilimalizia kwa kusema hivi "IFM GRADUATES ARE ADDED ADVANTAGES",Je wadau mnasemaje hapa.
NB:"KAMA UWEZI KUCHANGIA PLEASE KAA PEMBENI,MSILETE USHABIKI HAPA,THIS IS THE PLACE FOR GREAT THINKERS ONLY"

Ndugu ni AJIRA,sio AJILA.
 
na kama ilikuwa ni upendeleo wa dhahiri utasemaje. Vyuo vipo vingi ambavyo vinafanya vizuri katika fani ya uhasibu hapa nchini, yapo mengi yaliyojificha juu yahilo ambayo wenngi hatuwezi kuyafahamu. Hiyo kwangu ni propaganda inayolenga kushusha hadhi ya vyuo vingine vinavyotoa taaluma ya uhasibu. Huwezi jua inawezekana wapo watu ambao walikuwa wanalengwa katika nafasi ambazo zilikuwa zimetangazwa ili kukidhi haja ya mwajiri. Kwani wengi wa waaajiriwa katika nafasi nyeti kwa sasa ni watoto wa wakubwa serikalini na wapo waopelekwa katika vyuo fulani ili kwamba wapate nafasi fulani katika sekta fulani ya ajira nchini. Tuwe macho na matangazo ya kazi yenye mrengo huu, mara nyingine ni uhuni tu unaofanyika ili kukatisha watu kuomba nafasi za kazi
 
Ndiyo michongo yenyewe hiyo labda alikuwa na ndugu zake waliosoma ifm akaona jinsi ya kuwabeba njia sahihi ndio hiyo Tanzania yote yawezekana
 
Back
Top Bottom