Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanajf kuna jamaa yangu ameniambia kwamba aliona juzi kwenye gazeti kuwa linnah na amini wamerudiana!
Kwa bahati mbaya niko likizo huku kijijini ambako hata access ya magazeti hakuna!
Naombeni kwa anayejua aniambie kama ni kweli hii story!
kati ya hao ww ulikuwa unammendea nani?
Ungesema hayakuhusu badala kumjulisha kila mtuhaya tuhusu...wala hatutak kujua
Ni wabunge wa majimbo gani kwan hao watu?
wanahusika na issue gani hao jamaa...?
Hii safeeeeey
Mmmh, kaka siku hizi unapenda kusalimia wabinti? Im just observing with my too big eyes!
Kwani apo juu uyo ni binti? Unanipa ideas ujue? Lol (hujambo lakini)
usinitaje wala kunisingizia hapaa!
ungemsalimia kabla hujaskia harufu ya uturi? mi nna wivu na kaka zangu na dingi kuliko hata Paw!