Is it true kwamba Linnah na Amini wamerudiana?

Is it true kwamba Linnah na Amini wamerudiana?

Tangopori

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,628
Reaction score
1,285
Wanajf kuna jamaa yangu ameniambia kwamba aliona juzi kwenye gazeti kuwa linnah na amini wamerudiana!
Kwa bahati mbaya niko likizo huku kijijini ambako hata access ya magazeti hakuna!
Naombeni kwa anayejua aniambie kama ni kweli hii story!
 
kati ya hao ww ulikuwa unammendea nani?
 
Walivyotongozana hatukuwepo! So waachane warudiane co kaz yet

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Ni wabunge wa majimbo gani kwan hao watu?
 
usinitaje wala kunisingizia hapaa!
ungemsalimia kabla hujaskia harufu ya uturi? mi nna wivu na kaka zangu na dingi kuliko hata Paw!
Kwani apo juu uyo ni binti? Unanipa ideas ujue? Lol (hujambo lakini)
 
Back
Top Bottom