Ulimaanisha nini kusema Airbus?
Hehehehe!!! ila nahisi huruma na huzuni, kwa kweli Magufuli anapambana sana na ana nia njema, ila itakua aidha hashauriwi ipasavyo au hashauriki, anafanya kimabavu.
😂😂😂 Teargass the muthaphuckin best!
Hahahahaha ati nyama jameni...…..Is it true that ATLC has no passengers to carry and has assorted to transporting meat? Watz nataka jibu.
====
“Airbus iliyokuja juzi shughuli zote zilisimama, leo hatuelewi kwamba hadi sasa imezalisha shilingi ngapi? Zipo taarifa inaonekana inabeba nyama kutoka Mwanza, tunataka tuambiwe kwa sababu
zimenunuliwa na fedha za Watanzania."- Mbunge Devota
Minja akihoji ilipo Airbus ya ATCL
View attachment 1063874
Then why changes on the title?😂😂😂 Teargass the muthaphuckin best!
Then why changes on the title?
My question was very important though you seem to ignore it!
Airbus or ATCL?
Nyie endeleeni kujidanganya na kufurahia uongo. Aibu inawajia
Kashindikana.Hehehehe!!! ila nahisi huruma na huzuni, kwa kweli Magufuli anapambana sana na ana nia njema, ila itakua aidha hashauriwi ipasavyo au hashauriki, anafanya kimabavu.
Hivi wewe unaelewa ulichofanya?Your question was confused. The carrier is Airbus and the operator is ATLC, what don't you understand?
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi hata husikii tena juu ya DREAMLINER sijui imekwenda CHINA haijarudi!!!! Mwenye taarifa ya DREAMLINER tafadhali atujuze kwani hata pale JNIA ilipokuwa inapark haionekani tena. Wananchi tuna haki ya kujua kwani hela yetu nyingi sana imetumika kununua lile dege!