Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
[emoji85][emoji85][emoji85]THE NYAMA AIRLINES..... ..... The only only one I bet on the planet
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji85][emoji85][emoji85]THE NYAMA AIRLINES..... ..... The only only one I bet on the planet
Ufipa!?Airbus zipo zinapiga masafa ya Lusaka na Harare nyinyi ufipa pigeni kelele tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi hata husikii tena juu ya DREAMLINER sijui imekwenda CHINA haijarudi!!!! Mwenye taarifa ya DREAMLINER tafadhali atujuze kwani hata pale JNIA ilipokuwa inapark haionekani tena. Wananchi tuna haki ya kujua kwani hela yetu nyingi sana imetumika kununua lile dege!
Watu mna akili za kipuuzi sana,utangaziwe kila kitu kikusaidie nini mtu mwenye akili kama hii?kuna siku Magufuli mtamkumbuka,juhudi ya muda mchache zinaonekana lakini eti mnaponda kwa mapenzi ya vyama vya siasa.Is it true that ATLC has no passengers to carry and has assorted to transporting meat? Watz nataka jibu.
====
“Airbus iliyokuja juzi shughuli zote zilisimama, leo hatuelewi kwamba hadi sasa imezalisha shilingi ngapi? Zipo taarifa inaonekana inabeba nyama kutoka Mwanza, tunataka tuambiwe kwa sababu
zimenunuliwa na fedha za Watanzania."- Mbunge Devota
Minja akihoji ilipo Airbus ya ATCL
View attachment 1063874
Nadhani anamaanisha kwamba, pamoja na KQ kuwa hewani kwa zaidi ya miaka 40, lakini inamiliki ndege 3 pekee, na inaendelea kutengeneza hasara year in year out.
Ndege sita iyo ndio full capacity yake...Ndio maana ndege zinanunuliwa hazitoshi500000???[emoji32][emoji32][emoji32]Yani Coast bus inabeba abiria wengi kuiliko ? ?
Duh,vijana wa uvccm ni hatari!Last year atcl pekee imebeba pax 500000 ndege hazitoshi nyie pigeni kelele kama wendawazimu...route zinaongezwa kila siku ,Mumbai,Guangzhou, Bangkok,Johannesburg soon
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla ya ATCL kununua hizi ndege, KQ na Emirates ndizo zilizokua zinabeba nyama ya Tanzania kwenda Dubai. Sasa hivi hii cargo haipo tena, tegemeeni kupata hasara zaidi, endeleeni kubeba maua ambayo sio mazito hivyo hayalipi sana kwa KQ. teh..teh...teh...teh...teh..Tz ni full commedy show(Nchi ya viwonder) yani nikiingia humu ni kama niko Churchill show. joto la jiwe 😀😀😀😀 Jichekelee kiasi usizeeke mapema kwa huzuni na kuirushia KQ mashida ya kwenu kwani hata hizo 3 hazibebi minofu 😀😀
Ya Ghuangzou je?Nenda flightradar uangalie..hizo airbus zinapiga mzgo kila Day kama zinaenda entebe na lusaka kufwata nyama..wabunge wanajiongelesha mambo hawajuiView attachment 1064074View attachment 1064075View attachment 1064076View attachment 1064077
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule mbunge anajua nini sasa, ni wale wabunge wapo kwa ajili ya kuwaburudisha wakubwa kuondoa uchovu mida ya jionikwhyo hyo mbunge kuongelea hilo swala tz one hajui kitu wewe ndio unajuwa zaidi...unatuletea vitu vya kijinga hapa..kwhyo nyinyi mnajua kuliko huyo mbunge...bwahahaaa
Endelea kujiliwaza na hiyo chorus yako, kwenye umiliki wa ndege KQ sio saizi yenu.Nadhani anamaanisha kwamba, pamoja na KQ kuwa hewani kwa zaidi ya miaka 40, lakini inamiliki ndege 3 pekee, na inaendelea kutengeneza hasara year in year out.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa KQ sio saizi ya ATCL..Hauwezi linganisha ndege 3 chakavu za mkopo na ndege 8 mpya za cash😂😂😂Endelea kujiliwaza na hiyo chorus yako, kwenye umiliki wa ndege KQ sio saizi yenu.
![]()
Nadhani anamaanisha kwamba, pamoja na KQ kuwa hewani kwa zaidi ya miaka 40, lakini inamiliki ndege 3 pekee, na inaendelea kutengeneza hasara year in year out.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbaya zaidi, we pay cashSiku hizi hata husikii tena juu ya DREAMLINER sijui imekwenda CHINA haijarudi!!!! Mwenye taarifa ya DREAMLINER tafadhali atujuze kwani hata pale JNIA ilipokuwa inapark haionekani tena. Wananchi tuna haki ya kujua kwani hela yetu nyingi sana imetumika kununua lile dege!
Haters mwakani tunapokea dreamliner nyingine,hata roma aikujengwa siku 1Siku hizi hata husikii tena juu ya DREAMLINER sijui imekwenda CHINA haijarudi!!!! Mwenye taarifa ya DREAMLINER tafadhali atujuze kwani hata pale JNIA ilipokuwa inapark haionekani tena. Wananchi tuna haki ya kujua kwani hela yetu nyingi sana imetumika kununua lile dege!
Bora muachiwe, kuliko kuwekeza kwenye hiyo miradi, eti. Alafu mkiitwa nyumbu mnabisha.Ndomana sitegemei mazuri yoyote licha ya kuwa nchi ina miradi mingi. Bora hizo hela wangetuachia wananchi tuishi nazo tu
Sent using Jamii Forums mobile app