Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 482
[/COLOR]
kuna wakati frnd wake mr alitaka kucheza rafu, nilijaribu kumwelewesha ki utu uzima lakini hakuwa anaelewa, kuona imekuwa usumbufu ilibidi nimwambie mr "mwambie fulani ajifunze kujiheshimu, akuheshimu na wewe kama frnd wake wa kitambo na pia aniheshimu na mie kama mkeo"...baada ya cku kadhaa yule kaka alinical kuniomba msamaha na kuomba yaishe alipitiwa, kwasasa ndio frnd wa mr mwenye nidhamu kwangu 100%, nyie wanaume mkitaka kujua haya mambo kwamba leo mke/mpenzi wangu katongozwa na nani hamtakuwa na maeleweno kwenye huo uhusiano hata chembe.
Hivi jamani hamnaga kinyaa! Unajua kabisa demu huyu ana jamaa yake anaitwa musa na ni rafiki. Wewe unaanza kutongoza! Mi sitaki hii! Sisemi sitongozi la hasha, wala sisemi kuwa natafuta bikra, hapana. Ninachojua ni kuwa demu huyu anaye mtu wake labda lakini simjui hivyo ninaasume kuwa ni jimbo huru ambalo simjui mtu anayelimiliki sasa. Na kama demu na yeye akivutiwa nami basi tunaanza maisha pamoja kwa mimi kusahau mademu wangu wa nyuma na yeye anasahau wake wa nyuma. Mimi kama mimi nasema nkimtongoza demu na nikajua kabisa Fidel ameshapita hapo!(sorry Fidel nimetolea mfano tu sian maana ya wewe kama wewe). Mahanjam yote kwisha! Kinyaa kitupu na sitoendelae kujaribu kupandisha bendera.