Is it true....?

Is it true....?

[/COLOR]

kuna wakati frnd wake mr alitaka kucheza rafu, nilijaribu kumwelewesha ki utu uzima lakini hakuwa anaelewa, kuona imekuwa usumbufu ilibidi nimwambie mr "mwambie fulani ajifunze kujiheshimu, akuheshimu na wewe kama frnd wake wa kitambo na pia aniheshimu na mie kama mkeo"...baada ya cku kadhaa yule kaka alinical kuniomba msamaha na kuomba yaishe alipitiwa, kwasasa ndio frnd wa mr mwenye nidhamu kwangu 100%, nyie wanaume mkitaka kujua haya mambo kwamba leo mke/mpenzi wangu katongozwa na nani hamtakuwa na maeleweno kwenye huo uhusiano hata chembe.

Hivi jamani hamnaga kinyaa! Unajua kabisa demu huyu ana jamaa yake anaitwa musa na ni rafiki. Wewe unaanza kutongoza! Mi sitaki hii! Sisemi sitongozi la hasha, wala sisemi kuwa natafuta bikra, hapana. Ninachojua ni kuwa demu huyu anaye mtu wake labda lakini simjui hivyo ninaasume kuwa ni jimbo huru ambalo simjui mtu anayelimiliki sasa. Na kama demu na yeye akivutiwa nami basi tunaanza maisha pamoja kwa mimi kusahau mademu wangu wa nyuma na yeye anasahau wake wa nyuma. Mimi kama mimi nasema nkimtongoza demu na nikajua kabisa Fidel ameshapita hapo!(sorry Fidel nimetolea mfano tu sian maana ya wewe kama wewe). Mahanjam yote kwisha! Kinyaa kitupu na sitoendelae kujaribu kupandisha bendera.
 
sio kuzungumzia kinyaa tu but kwangu mie hayo mambo cyawezi tena, sio kwa frnd wa mr tu hata kwa mwingine yoyote, BTW mapenzi hayana kinyaa.
 
Hayo sio mapenzi ni ufuska! Kuwa na kutokuwa na frnd apart wa mr wako hayo ni siri yako. hatujui ila kila mtu anayo yanayomkifu kama nilivyo mimi.
 
ndio mana nikajieleza kwa upande wangu nionavyo mapenzi, kwangu mapenzi sio kinyaa boss! nadhani tupo pamoja.
 
Yeah,,, its true mapenzi hayana kinyaa lakini ufuska una kinyaa. Nililokuwa nasemea ni hili la kumtongoza mke wa rafiki yangu. Hilo ndo kinyaa kwangu!
 
Mzee akirudi jioni anakwambia unamfahamu mama flani na wewe unaitikie eheee anakwambia ananitaka na ukiangalia mama mwenyewe amejaaliwa kila kitu kuliko wewe,utafanyaje?

:Ningempuuza tu maana najua kuwa the fact kuwa kaja kuniambia kwa style hiyo ni kuwa yeye huyo bwana hana confidence...anajifikiria kuwa ni inferior na anadhani kwa kusema hivyo atajazia mapungufu yake.

...Ndio maana wengi wetu tunauchuna 'tuking'ang'aniwa' huko nje!
 
kuna wakati frnd wake mr alitaka kucheza rafu, nilijaribu kumwelewesha ki utu uzima lakini hakuwa anaelewa, kuona imekuwa usumbufu ilibidi nimwambie mr "mwambie fulani ajifunze kujiheshimu, akuheshimu na wewe kama frnd wake wa kitambo na pia aniheshimu na mie kama mkeo"...baada ya cku kadhaa yule kaka alinical kuniomba msamaha na kuomba yaishe alipitiwa, kwasasa ndio frnd wa mr mwenye nidhamu kwangu 100%, nyie wanaume mkitaka kujua haya mambo kwamba leo mke/mpenzi wangu katongozwa na nani hamtakuwa na maeleweno kwenye huo uhusiano hata chembe.

...nah! huyo hana urafiki wowote, anasubiria chance tu 'alipize!' -Usimwamini eti kwakuwa 'anajionyesha' ana nidhamu! Minafiki ya ina hii sijui kwanini inaitwa marafiki!
 
ndio mana nikajieleza kwa upande wangu nionavyo mapenzi, kwangu mapenzi sio kinyaa boss! nadhani tupo pamoja.

kwi kwi kwi wewe Nyamayao hueleweki mbona unasema TG ni kinyaa sasa inakuwaje tena ndo umehalalisha nini?
 
au
Kwa kujibu swali lako kuwa ningefanyaje? Ningempuuza tu maana najua kuwa the fact kuwa kaja kuniambia kwa style hiyo ni kuwa yeye huyo bwana hana confidence...anajifikiria kuwa ni inferior na anadhani kwa kusema hivyo atajazia mapungufu yake.

Naona jibu halijakamilika.
Fanya hivi wewe si kuna wanaume wanakutongoza, mwambie mzee kuna jamaa flani ananitongoza mala kwa mala unajua reaction gani itatokea?
 
kwi kwi kwi wewe Nyamayao hueleweki mbona unasema TG ni kinyaa sasa inakuwaje tena ndo umehalalisha nini?

Fidel hiyo kwangu mie siiti mapenzi hata kidogo, akiingia nilipomtolea mwanae nitaita mapenzi na c vinginevyo!....Fidel endelea kunihamasisha labda nita change mind...lol
 
au

Naona jibu halijakamilika.
Fanya hivi wewe si kuna wanaume wanakutongoza, mwambie mzee kuna jamaa flani ananitongoza mala kwa mala unajua reaction gani itatokea?
Najua na ndiyo maana sitamwambia kamwe!
 
Fidel hiyo kwangu mie siiti mapenzi hata kidogo, akiingia nilipomtolea mwanae nitaita mapenzi na c vinginevyo!....Fidel endelea kunihamasisha labda nita change mind...lol

ukinipa nafasi nitakuonjesha kisha si unajua chovya chovya humaliza buyu la asali....haya bana bado tupo pamoja na ukurasa mmoja.
wenzio wanasema kinyaa pale mme wako alipo toka kwa flani kufanya mambo na anakuja tena kwako ana taka pia.
 
Ni hatua gani utachukua rafiki yako akikwambia kuwa Mume wako/BF wako anamtongoza??

nitakaa chini na mhucka wangu 2liongelee hilo swala kiu2 uzima, kutokana na majibu ya muhucka then ndio nitajua saga linaendeleaje.
 
Najua na ndiyo maana sitamwambia kamwe!

hehehehe kama unajua kitakacho tokea kwa nini na wewe usifikirie kama jamaa atakuwa amesha maliza na hii ni defence mechanism ikija kukufikia kisiwe kitu kigeni kwako.
 
ukinipa nafasi nitakuonjesha kisha si unajua chovya chovya humaliza buyu la asali....haya bana bado tupo pamoja na ukurasa mmoja.
wenzio wanasema kinyaa pale mme wako alipo toka kwa flani kufanya mambo na anakuja tena kwako ana taka pia.[/QUOTE]

hapo mie ni ngumu kupatambua kama katoka mahali! na pamoja na ugumuu wake wa kutambua bado nitamuhudumia kama anahitaji coz na yeye ananihudumiaga pale ninapohitaji, ndio nikasema ukimchunguza sana bata hutamla, anapotokea sipaelewi mana anaweza kusema napata moja na kila fulani kumbe yupo kwingine, sasa kwa nini nijipe wazimu wa kutaka kujua kama katoka kwingine pasipo halali?
 
Ukijua kuwa ni kweli ni hatua gani utachukua???

ma bro 2ishie hapo kwa leo, 2nakoelekea cna jibu la kukuridhisha mana cwez kujua itakuwaje mpaka hapo kitakaponitokea, kwasasa 2teleze na thread.
 
Back
Top Bottom