Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,193
Tatizo liko wapi?
Ha hahaha,Lizzy bwana!!
Nimeuliza Is it wrong?kama ni wrong kivipi?na kama ni right je haitakuwa Offensive?
Ha hahaha,Lizzy bwana!!
Nimeuliza Is it wrong?kama ni wrong kivipi?na kama ni right je haitakuwa Offensive?
Mkuu,I think you should be happy bcoz you will be your sister's paparazi. the guy won't meander!
Nimetaka kujua kilichokufanya uulize.Nwy ubaya wa kuwa na ndugu wa rafiki yako ni pale mtakapogombana maana most of the time atatakiwa achague upande na ikiwa utakua au nduguye atakua mdanganyifu haitakua rahisi kukwambia/kumwambia.Hapo ukute alishakukanya/mkanya na bado una/anaendelea!
Is it wrong for your friend to date your sister or your Brother,not that they had known each other before he got to know her/him through you,is it Cool???
Mkuu,
Kweli utakuwa na uwezo wa kumchunga binadamu?
Ha hahahhaha,umeniua hapa mkuu.Loh!Kwanza jamaa atakua anaji bang bang kwako kwa sababu inayo eleweka! kwa kufanya hivyo utakua unajua mambo yake mengi. yaani hapo hata ukiwa nae then apita mwanamke mwenye figure 8, i a sure you the guy won't twist his neck!
Hakuna tatizo. Kinacholeta shida ni mazoea yetu ya kudanganyana. Sasa kama rafikiyo anajua wewe (au hata yeye) una tabia za kudanganya, hatopenda uwe karibu na sister wake, tabia mbaya.