Is It Wrong for Your Friend To Date your Sister/Brother?

Is It Wrong for Your Friend To Date your Sister/Brother?

Ben Saanane

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2007
Posts
14,580
Reaction score
18,193
Is it wrong for your friend to date your sister or your Brother,not that they had known each other before he got to know her/him through you,is it Cool???

Ha hahaha,Lizzy bwana!!

Nimeuliza Is it wrong?kama ni wrong kivipi?na kama ni right je haitakuwa Offensive?

Kama huyo rafiki yako ana uhusiano mwingine tofauti na undugu itakuwa offensive
 
I think you should be happy bcoz you will be your sister's paparazi. the guy won't meander!
 
Ha hahaha,Lizzy bwana!!

Nimeuliza Is it wrong?kama ni wrong kivipi?na kama ni right je haitakuwa Offensive?

Nimetaka kujua kilichokufanya uulize.Nwy ubaya wa kuwa na ndugu wa rafiki yako ni pale mtakapogombana maana most of the time atatakiwa achague upande na ikiwa utakua au nduguye atakua mdanganyifu haitakua rahisi kukwambia/kumwambia.Hapo ukute alishakukanya/mkanya na bado una/anaendelea!
 
Sawasawa,umetoa jibu la busara sana Lizzy.Ofcourse,nimeuliza tu ili kupata kupata mawazo,coz nimekuwa nikiona relationships za namna hiyo.
 
Is it wrong for your friend to date your sister or your Brother,not that they had known each other before he got to know her/him through you,is it Cool???

It may be wrong on one hand and right on the other hand.It's not a matter of yes or no zaidi inaenda kwenye satbility ya friendship.
One can be offended and other not,so that depends on mutual consent of both parties.Kibaya zaidi ni pale rafiki ako akimchezea faulo sister ako hata kama na yeye anajua labda wewe ni mcheza faulo mzuro lakini sidhani kama utajisikiavizuri csta ako kuchezewa Faulo na huo unaweza kuwa mwanguko wa urafiki!!
 
Sio kudate tu hata kuchukua jumla kabisa ruksa!!!!
 
Mkuu,

Kweli utakuwa na uwezo wa kumchunga binadamu?

Kwanza jamaa atakua anaji bang bang kwako kwa sababu inayo eleweka! kwa kufanya hivyo utakua unajua mambo yake mengi. yaani hapo hata ukiwa nae then apita mwanamke mwenye figure 8, i a sure you the guy won't twist his neck!
 
Ha hahahhaha,umeniua hapa mkuu.Loh!
 
Hakuna tatizo. Kinacholeta shida ni mazoea yetu ya kudanganyana. Sasa kama rafikiyo anajua wewe (au hata yeye) una tabia za kudanganya, hatopenda uwe karibu na sister wake, tabia mbaya.
 
Hakuna tatizo. Kinacholeta shida ni mazoea yetu ya kudanganyana. Sasa kama rafikiyo anajua wewe (au hata yeye) una tabia za kudanganya, hatopenda uwe karibu na sister wake, tabia mbaya.

Taht's very true,na kuna ishu za mkuki kwa Nguruwe,kwa binadamu mchungu.Sasa unaona,watu wanataka kuchezea dada za wengine lakini wa kwao hawataki wachezewe,kazi kweli
 
Is no any problem...
but you won't be as
free as you want ...
 
Back
Top Bottom