Mwana wa Mungu
JF-Expert Member
- Aug 14, 2008
- 1,003
- 85
waacheni waende wakajifunze kupigana. ila waende kwanza wakawaulize ethiopia kuhusu hao watu. wenzao hawaogipi kufa, na kwa experience ya kenya ya kina mungiki, nafikiri waandae majeneza ya kutosha kurudi nayo nairobi. pamoja na yote, nawapongeza na kuwasapoti waende watoe kibano kwa hao magaidi wa somalia. wajenge na makanisa kabisa pengine watapona na kuacha kujilipua. wamfuate Mungu wa kweli anayekataza kujilipua.
waacheni waende wakajifunze kupigana. ila waende kwanza wakawaulize ethiopia kuhusu hao watu. wenzao hawaogipi kufa, na kwa experience ya kenya ya kina mungiki, nafikiri waandae majeneza ya kutosha kurudi nayo nairobi. pamoja na yote, nawapongeza na kuwasapoti waende watoe kibano kwa hao magaidi wa somalia. wajenge na makanisa kabisa pengine watapona na kuacha kujilipua. wamfuate Mungu wa kweli anayekataza kujilipua.
Hata hivyo ujue kwamba somalia inahitaji msaada kwa hali ilivyo kule. Nani awe wa kwanza kutoa msaada? Ni wazi ni sisi waafrika wenzao, na hasa wale majirani. Zipo njia nyingi za kutoa msaada mojawapo ikiwa hiyo ya kuingilia kijeshi kama last resort. Ndivyo hata Tz ilivyofanya kule Komoro. Matatizo hayajiondokei menyewe, lazima yakabiliwe. Wale wenzetu wana hali mbaya. Wao wameshindwa kujisaidia wanahitaji kusaidiwa kwa njia moja au nyingine.Kenya wataondoka na aibu kama alivyoondoka "mmerakani" some years back!. Kenyans are not going to war however watakuwa wanapigana "Proxy" war wanapigana on behalf of America....that is how stupid our african leaders are. you fight your brother on behalf of white what a shame??? dollar ni tamu bwana si unajua jamaa ni wabepari. wamechukua mshiko kutoka US...watakufa wakenya wengi..sisi yetu macho...
Kenya wataondoka na aibu kama alivyoondoka "mmerakani" some years back!. Kenyans are not going to war however watakuwa wanapigana "Proxy" war wanapigana on behalf of America....that is how stupid our african leaders are. you fight your brother on behalf of white what a shame??? dollar ni tamu bwana si unajua jamaa ni wabepari. wamechukua mshiko kutoka US...watakufa wakenya wengi..sisi yetu macho...
Hata hivyo ujue kwamba somalia inahitaji msaada kwa hali ilivyo kule. Nani awe wa kwanza kutoa msaada? Ni wazi ni sisi waafrika wenzao, na hasa wale majirani. Zipo njia nyingi za kutoa msaada mojawapo ikiwa hiyo ya kuingilia kijeshi kama last resort. Ndivyo hata Tz ilivyofanya kule Komoro. Matatizo hayajiondokei menyewe, lazima yakabiliwe. Wale wenzetu wana hali mbaya. Wao wameshindwa kujisaidia wanahitaji kusaidiwa kwa njia moja au nyingine.
Na pengine kwa sasa njia pekee ni hiyo ya kijeshi. Ni wazi ni njia hatari, inagharimu maisha ya watu. Ndiyo maana ni last resort baada ya njia nyingine zote kushindwa.
Shida: wakati mwingine mtu uko tayari kusaidia lakini huna nyenzo au vifaa. Ukipewa na jirani sidhani kama ni vibaya kama kile unachotaka kukifanya ni chema, hakina hila. Kumbe mi sioni shida iwapo Kenya - kama kweli yaenda kuzipiga - ikawa imepewa silaha na marekani kuingilia huo mgogoro. Naamini lengo ni jema. Ujue hata marekani yenyewe kama superpower itapigana vita ngapi? Kumbe kama kwa kushirikiana na wengine inaweza kusaidia kurudisha hali ya usalama ni jambo jema.
Kumbe kusema Kenya itapigana kwa niaba ya marekani inategemea unaliangalia tatizo hilo kutoka kona gani! Yawezekana marekani ina malengo yake, lakini pia jamii ya Afrika ina malengo yake mema tu. Ona jinsi wasomali wameleta maafa makubwa kwa nchi zetu kutokana na kutokuwa na serikali. Kumekuwa na uharamia, ukosefu wa amani, poaching hasa Tz, nk. Ni hatari hao jamaa!
What of all those wabeba unga from TZ...who used to trafficking from Turkey, Bombay/Mumbai, Pakistan? so do not think you are immune to it
can we stick to the Kenya /Somalia issue...No country seems to be able to reason with Somalia...They are clanish people and are ruled by warlords belonging to different clans...it is profitable for them this way coz the operate like little mafia groups. A responsible Govt. is a rumour in this region.
Someone in this thread said that "War has no winners" its just casualties gruesome and terrifying!
Kenya wataondoka na aibu kama alivyoondoka "mmerakani" some years back!. Kenyans are not going to war however watakuwa wanapigana "Proxy" war wanapigana on behalf of America....Oya!!! the last time i looked Kenya ina mpaka na Somalia..its only reasonable to try and maintain that border...So what if it's a proxy war for the USA ...at least they have seen a real threat from Somalia...that is how stupid our african leaders are. I beg to differ the stupidity of the African leader... is UFISADI, NEPOTISM, CRONYISM. you fight your brother which brother? If they were real brothers, those Somalis would not be causing havock in EA and to the world-Piracy, clanism-they are al qaeda sympathisers, recruiting underage kids to fight. War is a mans business not kids... wengine hawaja balehe...and the sooner you know that this is not good and will not bode well for the region and the world...utaanza kujihami...ala?!!!!, Al qaeda is feeling the heat in PAKISTAN, they are looking for new grounds and Somalia is ripe and ideal. I would to tell you to be very afraid. they mean businesson behalf of white what a shame??? dollar ni tamu bwana si unajua jamaa ni wabepari. wamechukua mshiko kutoka US...watakufa wakenya wengi..sisi yetu macho...this has nothing to do with ubepari...dude, Just as many Kenyans will die so will many EAs. You have to try and understand how the Somali mind works, hivi hapa umewahi kushi nao kama jirani? I know i have leaved with them. So do not argue for the sake of arguments....SOMALIA and her problems is bigger than all the EA region put together..
You call yourself "Mwana wa Mungu"? what is this statement ?" na kwa experience ya kenya ya kina mungiki, nafikiri waandae majeneza ya kutosha kurudi nayo nairobi"
Somalia is a serious threat to EA and you still ridicule Kenya. War is never the answer...even the mighty USA has not managed it's wars...they too have casualties everyday!
Kama wewe ni really a child of God then i'm really scared of the so called children of God, is this is what you advocate?
I will say this again Somalias disintegration and lack of systematic Govt. should worry everybody.
Yeah, even if they could vamia Kenya, Tz sio mbali sana. It will be next kuvamiwa na those insurgents.
The stability or semblance of a government in Somalia should be a serious discussion in EA and the world at large.
The lawleness is very conducive for terrorist cells...read Al qaeda, Al shabaab
I am disappointed in this kind of reasoning. But hey what else is new...hii forum imekuwa ya matusi na kejeli.
as for Mungiki ...you do not have an understanding about Mungiki so do not say much about them...what you hear and read in the news is just that the inside story is for another day.
Tanzania and Somalia do not share a border but fools drug dealers Kenyans want us to believe that Somalia is threat to Tanzania and the whole of East Africa. anyway, Nyaralego, I think you have a problem with Islam!
Zanzibar,I see that you have a problem with Islam, that is fine go ahead if you think that you can destroy Somalia and Islamic world !
Tanzania and Somalia do not share a border but fools drug dealers Kenyans want us to believe that Somalia is threat to Tanzania and the whole of East Africa. anyway, Nyaralego, I think you have a problem with Islam!
I see that you have a problem with Islam, that is fine go ahead if you think that you can destroy Somalia and Islamic world !
Tanzania and Somalia do not share a border but fools drug dealers Kenyans want us to believe that Somalia is threat to Tanzania and the whole of East Africa. anyway, Nyaralego, I think you have a problem with Islam!
Are you any better, do you even have an airforce to start with, you are still stuck with your vasco dagama atillery(zile mlizomfukuza nazo Amin), and a defence budget the size given to the youth fund here in kenya, (while your population is more than 40 milli)... LOL... kazi kuimba tu bongo flava, nakuishi in a mirage... LOL.. At times you make me laugh..
I see that you have a problem with Islam, that is fine go ahead if you think that you can destroy Somalia and Islamic world !
This is for you ZANZIBAR. I did not make this up...it's in the news...This is what we shoud be worried about!!!
BBC NEWS | Africa | Somali 'killer' stoned to death
What is your problem? Islamic law ? I'm glad to know you have proved my point, thanks redneck!!!!!!!