Is Kenya's ban on maize from Tanzania and Uganda has anything to do with this directive?

Hii vita ya kibiashara ni hasara kwa wote
 
Wameshafyata mkia
 
Hii vita ya kibiashara ni hasara kwa wote
sisi hatuna hasara bro.
pesa yetu tumeishikilia mkononi,,, mahindi tutayafuata wenyewe Mexico au Brazil. kumbuka pesa haiozi, sasa mahindi yenu muyatafune wenyewe au muyatupe, hayo hayatuhusu.
 
sisi hatuna hasara bro.
pesa yetu tumeishikilia mkononi,,, mahindi tutayafuata wenyewe Mexico au Brazil. kumbuka pesa haiozi, sasa mahindi yenu muyatafune wenyewe au muyatupe, hayo hayatuhusu.
Sisi tuna nchi nane tunaweza uzia ukiacha silos mpya za kuhifadhi! Ila hatutawaacha salama lazma tuwagonge ban mahala muje kuomba msamaha kama kipindi cha corona!
 
sisi hatuna hasara bro.
pesa yetu tumeishikilia mkononi,,, mahindi tutayafuata wenyewe Mexico au Brazil. kumbuka pesa haiozi, sasa mahindi yenu muyatafune wenyewe au muyatupe, hayo hayatuhusu.
[emoji16][emoji16][emoji16]pesa ina thamani kwa bidhaa zote ulimwenguni lakini sio kwenye chakula kijana.

ukitaka ujue hujui kitu hapa duniani.subiri kichaa mmoja kutoka tz atamke hakuna kupeleka mazao ya chakula kenya[emoji28][emoji28][emoji28],ndio utajua huna hela wewe ila karatasi zilizochangamka.
 

Nakumbuka kipindi kile 1994 Rwanda wakifanyiana ujinga wenyewe kwa wenyewe (ukabila) nafaka ilikuwa na thamani kuliko pesa.
Yaani walikuwa wanabadilishana maharage kwa mahindi hakuna aliye kuwa anahitaji pesa ilikuwa ni mwendo wa kubadilisha vyakula unanipa nisicho nacho nakupa usicho nacho.

Pesa ziligeuka karatasi zilizochangamka [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaha. Hata USA tunaweza kununua mahindi, bora tu sio Tanzania.
Chakushangaza mahindi ya Marekani na Mexico sio kwa matumizi ya binadamu wao wameya breed kwa ajili ya mifugo yao, ndio maana huwezi kuta unga wa ugali kwenye diet yao sasa nyie subirini mahindi ya mang'ombe ili mvimbiwe vizuri huo ndio mzigo wa kuwa kibaraka,
 
Mexico wanapanda white maize na wanaila. Marekani wanapanda yellow maize na pia wanaila. Hata kwenye movies nimewahi kuona Wamarekani wakila yellow maize. Ila sisi Wakenya tunachukia yellow maize, ndio maana tunanunua white maize kutoka Mexico. By the way unajua wanasayansi wamegundua kwamba mahindi ilivumbuliwa maeneo ya Latin America, hususan maeneo ya Mexico? Zamani mahindi yalikuwa kama grass tu na maize cob ilikuwa ndogo sana lakini Native Americans wakaanza kuipanda na polepole maize cob ikaanza kuwa kubwa hadi ikafikia size yake ya sasa. Wazungu ndio walileta mahindi Afrika. Mahindi haikuwa staple food ya ancestors wetu. Staple food ya Ancestors wetu ilikuwa ni mihogo, viazi vitamu, nduma na wimbi.




Corn Domesticated From Mexican Wild Grass 8,700 Years Ago​

Maize was domesticated from its wild grass ancestor more than 8,700 years ago, according to biological evidence uncovered by researchers in Mexico’s Central Balsas River Valley. This is the earliest dated evidence — by 1,200 years — for the presence and use of domesticated maize. The researchers, led by Anthony Ranere of Temple University and...
March 23, 2009



Maize was domesticated from its wild grass ancestor more than 8,700 years ago, according to biological evidence uncovered by researchers in Mexico’s Central Balsas River Valley.
This is the earliest dated evidence — by 1,200 years — for the presence and use of domesticated maize.
The researchers, led by Anthony Ranere of Temple University and Dolores Piperno of the Smithsonian National Museum of Natural History, report their findings in the March 24 edition of Proceedings of the National Academy of Sciences (PNAS).
Corn Domesticated From Mexican Wild Grass 8,700 Years Ago.
 
Imagine mtu anakurupuka huko anasema mahindi ya Tz yana sumu nyingi yaani ana Lengo gani ikiwa Tunauza hayo mahindi kwenye masoko ya Kimataifa? WFP wananunua tones za kutosha achilia mbali nchi za sadc na drc,
Hawa wapumbavu ni kama wametuzoea. Inafaa tufanye kitu wajifunze
 
wanatujua sana tu.kwamba uwezo wa kuwavuruga tunao.

wanachofanya ni kujaribu kupima nguvu gani tunayo kwenye hatima ya nchi yao.
 
sisi hatuna hasara bro.
pesa yetu tumeishikilia mkononi,,, mahindi tutayafuata wenyewe Mexico au Brazil. kumbuka pesa haiozi, sasa mahindi yenu muyatafune wenyewe au muyatupe, hayo hayatuhusu.
Mexico na Brazil ni GMOs
 
wanatujua sana tu.kwamba uwezo wa kuwavuruga tunao.

wanachofanya ni kujaribu kupima nguvu gani tunayo kwenye hatima ya nchi yao.
Nyinyi tumezoea kuwachezea kama toy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…