Is lockdown and mass testing working in Kenya?

Is lockdown and mass testing working in Kenya?

Tufate maagizo

FB_IMG_15889629187476754.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mtu anajua tests za China zilikua defective. Wale walistuka juu Magufuli alisema hawaja fuata mambo ya testing worldwide. Kenya ilijua hizo test kits sio accute. That is why we are using machines that are use to test other diseases like TB and HIV to do corona testing. These are very accurate though take time.

Joto la jiwe anataka tuache kutest na quarantine tuache watu wakufe tu?
Wacha kuzungumza mambo usiyoyajua, TB husababishwa na bacteria, hupimwa kwa kutumia darubini ya kawaida kwa kuwaangalia hao bacteria, wakati virusi havionekani kwa darubini vinapimwa kwa kutumia reagents. Hivi kwanini mnapenda sana kuzungumza vitu vya uongo ili kujisifu mambo msiyoyajua? Acheni ulimbukeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom