aisee hiyo kitu si nzuri kiafya japo wataalamu wanasema ni ngono salama ila si kweli! mkono mgumu kaka huwezi fananisha na sehemu stahiki...anachosha mishipa yake na anajiumiza tu, maana kuna rafiki yangu alikuwa anapiga sana basi hata macho yake alikuwa kama anasinzia...wapo ambao walidhania ni teja ila nafikiri ni puli!!!nina rafiki yangu...yeye nimezoeana nae sana na ni muwazi sana kwangu. Amekuwa addicted to sex. i call him sex Maniac. Na mara nyingi anapotaka kufanya sex kama hawezi hufanya masturbation. Jamani....is this thing au behaviour healthy....!!!!!