Is masturbation healthy or no and is t advicable..

Is masturbation healthy or no and is t advicable..

talent A

Member
Joined
Sep 18, 2013
Posts
32
Reaction score
6
nina rafiki yangu...yeye nimezoeana nae sana na ni muwazi sana kwangu. Amekuwa addicted to sex. i call him sex Maniac. Na mara nyingi anapotaka kufanya sex kama hawezi hufanya masturbation. Jamani....is this thing au behaviour healthy....!!!!!
 
Hakuna madhara hata mimi nimekuwa addicted na hii kitu,
Ila hyo advicable umechapia,labda ungesema advisable
 
nina rafiki yangu...yeye nimezoeana nae sana na ni muwazi sana kwangu. Amekuwa addicted to sex. i call him sex Maniac. Na mara nyingi anapotaka kufanya sex kama hawezi hufanya masturbation. Jamani....is this thing au behaviour healthy....!!!!!
aisee hiyo kitu si nzuri kiafya japo wataalamu wanasema ni ngono salama ila si kweli! mkono mgumu kaka huwezi fananisha na sehemu stahiki...anachosha mishipa yake na anajiumiza tu, maana kuna rafiki yangu alikuwa anapiga sana basi hata macho yake alikuwa kama anasinzia...wapo ambao walidhania ni teja ila nafikiri ni puli!!!
AACHE MARA 1...ASIJE KUJA KUWA ROSTMAINI HAPO BAADAYE..AKIPEWA NYAMA ASHINDWE KUTAFUNA KWASABABU YA KUCHOSHA MENO YAKE!!!
 
is beer drinking healthy? inategemea na unywaji wako.
za kuambiwa............................
 
Back
Top Bottom