Is Messi really the G.O.A.T?


Hayo mambo ya umeamkaje au umelalaje ni huko huko kwenu kariakoo na jangwani
 
Jana mi nilikuwa namwona aki kimbia kimbia tu uwanjani
 
nani amemkamia?
Joti mechi ya jana hakukamiwa alijikaba mwenyewe na waala hakuwa na madhara.

na sio jana tu.
hata ile fainali dhidi ya German alijamba na hakuwa na madhara yoyote.

Vipi kuhusu Goli 2 alizowapiga pale Camp Nou na jumla mkawa mmepigwa 4!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…